Historia

Historia (kutoka Kigiriki ιστορια, historia; pia tarehe kutoka Kiarabu تاریخ tarih kwa maana ya historia: pia tena mapisi) ni somo kuhusu maisha ya binadamu na utamaduni wao wakati uliopita.

Historia
Maktaba ya Aleksandria, Misri ya kale.

Mara nyingi neno hilo lina pia maana ya maarifa yoyote kuhusu wakati uliopita, yawe au yasiwe maarifa ya watu (kwa mfano "historia ya ulimwengu").

Historia ni hasa mfululizo wa habari za mambo yaliyotokea pamoja na sababu zake.

Binadamu anaziandika ili kuelewa maisha yake, yaani ametokea wapi, amepata mafanikio gani na matatizo gani.

Historia inatufundisha kuishi: kumbukumbu za mambo ya zamani (vita, uhuru, viongozi na mengineyo) zinatuwezesha kuendelea vizuri zaidi.

Wanahistoria wanapata maarifa yao kutoka maandishi ya zamani (hasa kwa historia andishi), kutoka fasihi simulizi na kutoka akiolojia (hasa kwa historia ya awali).

Kurasa zinazohusiana

Tanbihi

Historia  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

BinadamuKiarabuMaishaUtamaduniWakati

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mkoa wa MorogoroRihannaIsaRaiaLigi Kuu Tanzania BaraOrodha ya Marais wa TanzaniaBata MzingaArudhiDhima ya fasihi katika maishaUgonjwaUbongoAshokaInstagramZana za kilimoKarne ya 18Rupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniMadiniIsraelOrodha ya milima ya TanzaniaMariooDiamond PlatnumzEkaristiAdhuhuriJumaPichaKinembe (anatomia)KisimaUyahudiSemantikiJipuBunge la TanzaniaVitenzi vishirikishi vikamilifuMishipa ya damuBiblia ya KikristoHistoria ya uandishi wa QuraniVirusi vya UKIMWIMkutano wa Berlin wa 1885Barua rasmiMkoa wa RukwaFutariUtamaduni wa KitanzaniaWahaMike TysonFani (fasihi)Mbiu ya PasakaKupatwa kwa JuaWameru (Tanzania)Vipera vya semiKwaresimaUbuyuUtandawaziWenguFasihi ya KiswahiliJohn MagufuliMakkaDini nchini TanzaniaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaHassan bin OmariKuhani mkuuAina ya damuFamiliaMkoa wa KigomaTajikistanMbeya (mji)Orodha ya majimbo ya MarekaniMaambukizi nyemeleziKrismasiUsiku wa PasakaKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniNeemaMuhammadTrilioniHistoria ya Kiswahili🡆 More