Kundinyota Mwanafarasi

Mwanafarasi (Equuleus kwa Kilatini na Kiingereza) .

ni jina la kundinyota ndogo ya nusutufe ya kaskazini ya Dunia.

Kundinyota Mwanafarasi
Nyota za kundinyota Mwanafarasi (Equuleus ) katika sehemu yao ya angani
Kundinyota Mwanafarasi
Ramani ya Mwanafarasi - Equuleus(kwa macho ya mtazamaji kwenye nusutufe ya kaskazini ya Dunia)

Mahali pake

Mwanafarasi linapakana na mkundinyota jirani ya Dalufnin (Delphinus), Dalu au Ndoo (Aquarius), Farasi (Pegasus) na Mbweha (Vulpecula). Kundinyota hii iko karibu na nyota angavu sana ya Tairi (Altair).

Jina

Mwanafarasi dogo sana kwa hiyo hatuna habari ya matumizi yake na mabaharia Waswahili. Lilitajwa tu na Klaudio Ptolemaio kama „sehemu ya Farasi“ ilichorwa kama kichwa cha farasi tu kando la farasi kubwa la Pegasus. Kunda dalili ya kwamba ilibuniwa na Hipparchos wa Nikaia

Waarabu waliipokea hivi na Wagiriki.

Equuleus - Mwanafarasi ni kati ya makundinyota yaliyotajwa tayari na Klaudio Ptolemaio katika karne ya 2 BK. Iko pia katika orodha ya makundinyota 88 ya Umoja wa kimataifa wa Astronomia kwa jina la Equuleus. Kifupi chake rasmi kufuatana na Ukia ni 'Equ'.

Nyota

Jina la
(Bayer)
Namba ya
Flamsteed
Jina
(Ukia)
Mwangaza
unaoonekana
Umbali
(miaka nuru)
Aina ya spektra
α 8 Kitalpha 3,92m 186 G0 III
δ 7 Delta Equulei 4,49m 55

Tanbihi

Viungo vya Nje

Marejeo

  • Richard Hinckley Allen: Star-Names and their Meanings; kwa G. E. Stechert New York, Leipzig, London, Paris 1899, “Equuleus” ukurasa 212 ff (online hapa kwenye archive.org)
  • Jan Knappert, 1993: The Swahili Names of Stars, Planets and Constellations; The Indian Ocean Review September 1993 Volume 6 No. 3 September 1993, kurasa 6-7, ISSN 1031-2331


Tags:

Kundinyota Mwanafarasi Mahali pakeKundinyota Mwanafarasi JinaKundinyota Mwanafarasi NyotaKundinyota Mwanafarasi TanbihiKundinyota Mwanafarasi Viungo vya NjeKundinyota Mwanafarasi MarejeoKundinyota MwanafarasiJinaKiingerezaKilatiniKundinyotaNusutufe ya kaskazinien:Equuleus

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Lugha ya piliUtamaduni wa KitanzaniaJamii28 MachiHerufiMashineTungo kishaziJumaWilaya ya KinondoniVita vya KageraBawasiriMuzikiViwakilishiFasihi andishiFatma KarumeJidaUlemavuReli ya TanganyikaThrombosi ya kina cha mishipaSiasaFur EliseFutiPasaka ya KikristoJulius NyerereUbongoUandishiViwakilishi vya pekeeMkanda wa jeshiMtandao wa kijamiiAurora, ColoradoKobeOrodha ya Marais wa TanzaniaWachaggaMwanamkeKipajiOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaPilipiliKitenzi kikuu kisaidiziLionel MessiTabianchiMariooPasaka ya KiyahudiUzalendoMahakamaKifua kikuuKiumbehaiDakuRafikiAgano JipyaTanganyikaLigi Kuu Tanzania BaraMweziMaishaSamia Suluhu HassanWagogoMalariaMtawaKoloniVivumishi vya pekeeVladimir PutinAbd el KaderRedioMajiDiamond PlatnumzVieleziKatibuNishati ya mwangaWikipedia ya KirusiNdoa ya jinsia mojaJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaDhahabuMnururishoTreniWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiHoma ya mafua🡆 More