Mfyulisi

Mfyulisi ni mti mdogo wa jenasi Prunus (nusujenasi Amygdalus) katika familia Rosaceae.

Mfyulisi
(Prunus persica)
Kiunga cha mifyulisi
Kiunga cha mifyulisi
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Rosales (Mimea kama mwaridi)
Familia: Rosaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mwaridi)
Nusufamilia: Amygdaloideae (Mimea iliyo na mnasaba na mlozi)
Jenasi: Prunus
L.
Nusujenasi: Amygdalus
(L.) Focke
Spishi: P. persica
(L.) Batsch, 1801

Matunda yake huitwa mafyulisi na haya yana ngozi yenye manyoya mafupi kama mahameli.

Asili ya mti huu ni Uchina, lakini sikuhizi unapandwa kila mahali katika kanda za nusutropiki.

Kuna aina mbili zenye matunda yaliyo na kifano kingine:

    Mnektarini (var. nucipersica au var. nectarina) - ngozi ya matunda bila manyoya
    Mfyulisi-donati (var. platycarpa) - matunda yenye umbo wa donati

Picha

Tags:

Familia (biolojia)ManyoyaMtiNgoziTunda

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MombasaWayback MachinePandaKitenzi kishirikishiDawa za mfadhaikoTanganyikaInjili ya MathayoMuda sanifu wa duniaHassan bin OmariNyweleNenoKipindi cha PasakaFutariHadithi za Mtume MuhammadKalenda ya KiyahudiUtapiamloZama za ChumaJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoKima (mnyama)YesuAntibiotikiSaratani ya mlango wa kizaziAli KibaNominoWamandinkaKaswendeNgono zembeMbooWachaggaUzazi wa mpango kwa njia asiliaNomino za kawaidaMahakamaAdolf HitlerChuiAgano JipyaPicha takatifuUaUkatiliMauaji ya kimbari ya RwandaUingerezaAina ya damuMofolojiaRwandaOrodha ya programu za simu za WikipediaWanyakyusaUchawiKiswahiliFasihi simuliziWamasoniNgome ya YesuTamathali za semiMsalaba wa YesuMamba (mnyama)Tupac ShakurReal BetisJacob StephenWikimaniaJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaNuru InyangeteZuchuAngahewaKiboko (mnyama)Orodha ya Marais wa BurundiSentensiWajitaUenezi wa KiswahiliIndonesiaAsidiWallah bin WallahMichelle ObamaShereheDhambiNapoleon BonaparteRose MhandoYoweri Kaguta MuseveniNjia ya Msalaba🡆 More