Makumbusho ya Bonde la Oltupai (kwa Kiingereza: Olduvai Gorge Museum) yanapatikana katika hifadhi ya Ngorongoro kaskazini mwa Tanzania katika bonde la Oltupai.
Makumbusho haya yaliweza kuvumbiwa na Mary Leakey na kwa sasa yapo chini ya mamlaka ya kitengo cha mambo ya kale ya utamaduni ya Tanzania na inasimamiwa na mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro. Ni jumba la makumbusho lililowekwa kwa ajili ya kuthamini na kuelewa maeneo ya Olduvai Gorge na Laetoli.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Makumbusho ya Bonde la Oltupai, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.