Lego

Lego ni jina la kampuni nchini Denmark inayotengeneza vichezeo mashuhuri ya Lego.

Kampuni ni mtengezaji mkubwa wa vichezeo duniani.

Lego
Matofali ya Lego.
Lego
Mfano wa Trafalgar Square (London) huko Legoland.

Matofali ya plastiki

Lego ni hasa matofali madogo ya plastiki yanayoweza kuunganishwa kuunda mifano ya kila kitu.

Kiasili kampuni ilitengeneza michemraba ya ubao na tangu mwaka 1949 mtindo huu ulipanuliwa kwa kutumia plastiki.

Baada ya kufaulu, chaguo la vipande vya kuunganishwa liliongezeka kuwa pamoja na mwanaserere ndogo zenye kichwa, mwili wa juu na mwili wa chini pekee, hivyo zinaweza kutenganishwa na kuunganishwa upya, na magurudumu na vipande vingine kwa kuunda gari. Kuna pia mikusanyo ya vipande vya nyongeza vinavyoruhusu kuunda mifano ya miji, anga-nje, jahazi na meli, maboma, masauri, na mengine mengi.

Lego Technic

Tangu mwaka 1977 Lego ilipanuliwa tena kwa vipande vya Lego Technic iliyoongeza injini za umeme, kompresa na pampu za hewa zilizoruhusu kuunda mifano ya trekta au mashine nyingine.

Roboti za Lego

Mtindo huu umepanuliwa katika karne ya 21 kwa vipande vya "Lego Mindstorm" vinavyoruhusu kutengeneza roboti. Kiini chake ni tofali lenye chipu ndani yake inayopokea amri kupitia kompyuta ya nyumbani na amri zinatekelezwa kwa kutumia injini ya umeme na vigunduzi mbalimbali vya nuru, sauti na mgusano.

Kampuni ilianzisha pia miradi ya kitalii ya Legoland ambako mifano ya majengo mashuhuri ya dunia yanaonyeshwa ambayo yameundwa kwa matofali ya Lego.

Mifano ya matumizi ya Lego

Marejeo


Viungo vya nje

Lego  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lego kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Lego Matofali ya plastikiLego TechnicLego Roboti za Lego Mifano ya matumizi ya Lego MarejeoLego Viungo vya njeLegoDenmarkDunianiJinaKampuniVichezeo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Uzazi wa mpangoMkoa wa NjombeOrodha ya vitabu vya BibliaKiongoziGabriel RuhumbikaHadhiraWakingaOrodha ya viongoziBiasharaSintaksiAsili ya KiswahiliUsawa (hisabati)Kamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniYombo VitukaInjili ya MathayoImaniWaluoVieleziKiharusiMachweoAfrika ya MasharikiRejistaWatutsiOrodha ya Marais wa NamibiaUfupishoIfakaraMkatabaSteve MweusiMaudhui katika kazi ya kifasihiMagharibiMarekaniUharibifu wa mazingiraRiwayaKishazi tegemeziMkoa wa ShinyangaStadi za maishaMajira ya baridiKishazi huruUmojaOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaMrisho MpotoMariooMahakamaMusaNguvaMaambukizi nyemeleziNdege (mnyama)MsikitiHistoria ya KanisaOrodha ya kampuni za Tanzaniaec4tgDhima ya fasihi katika maishaTarakilishiNge (kundinyota)Uundaji wa manenoNomino za kawaidaMunguNileMkoa wa ManyaraBinamuStafeliMaajabu ya duniaNdiziMbooMaktabaMuundo wa inshaJamhuri ya Watu wa ChinaTaswira katika fasihiKiambishi tamatiBara la AntaktikiWasukumaNyegeUandishi wa barua ya simuKitenzi kikuuKanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania🡆 More