Trekta

Trekta (kutoka lat./ing.

Trekta
Trekta ya Volvo ya mwaka 1956
Trekta
Trekta ya mvuke mwaka 1904
Trekta
Trekta ya kisasa ya kuendeshwa kwa magurudumu yote manne

Kwa kawaida huwa na kiti kimoja cha dereva pekee na kusudi lake si usafiri wa watu lakini kuvuta (au kuendesha) mitambo mbalimbali au trela yenye mzigo.

Nje ya kilimo hutumiwa katika uchumi wa msituni, kwenye kazi za ujenzi na pia kwenye uwanja wa ndege.

Historia ya trekta

Trekta ziliundwa kwa kuchukua nafasi ya wanyama ambao katika tamaduni mbalimbali walifanya kazi ya kuvuta zana za kilimo nzito, hasa plau na pia kuvuta trela za kubeba mazao baada ya mavuno kutoka shamba.

Trekta za kwanza zilitokea wakati wa karne ya 19 baada ya kupatikana kwa injini ya mvuke.

Baadaye zilikuja trekta za petroli. Siku hizi trekta nyingi huendeshwa kwa injini ya diseli.

Magurudumu makubwa

Trekta inahitaji magurudumu makubwa kwa ajili ya kazi kwenye shamba pasipo na barabara ili ipite kwenye ardhi laini na matope shambani. Trekta ndogo huwa na magurudumu makubwa ya nyuma yanayosukumwa na injini yake. Magurudumu makubwa yanatumia nguvu ya injini vizuri zaidi kuliko magurudumu madogo lakini hayaruhusu kasi ya haraka hivyo matrekta yana mwendo wa polepole kuliko magari mengine.

Trekta za kisasa mara nyingi huwa na giaboksi inayopeleka nguvu kwenye magurudumu yote manne.

Trekta 
Trekta iliyounganishwa na mkono wa kuinulia mizigo na pampu ya maji

Vifaa vya kuunganishwa na trekta

Trakta huwa pia na nafasi za kuongeza mashine, vifaa na zana za kilimo mbalimbali. Kwa kusudi hii trekta pia huwa na pampu ya haidroliki. Nguvu ya haidroliki hutumiwa mara nyingi kwa kuegesha mkono wa mbele wa kuinulia mizigo juu, kwa mfano juu ya trela.

Mifano ya zanaa zinazopokea nguvu kutoka trekta ni mashine ya kukafulia au [[mashine ya kukatia majani].

Trekta 
Trekta yenye vifaa vya kuchimbia

Matumizi nje ya kilimo

Trekta zavuta miti iliyokatwa msituni hadi mahali pa kuipakiza kwenye lori. Msituni trekta inaweza kuendesha pia mashine ya msumeno.

Katika ujenzi trekta kutumiwa kwa kubeba au kuvuta vifaa vizito pasipo na barabara au njia imara.

Kwenye uwanja wa ndege trekta mara nyingi huvuta eropleni.

Marejeo


Trekta 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:

Tags:

Trekta Historia ya trektaTrekta Magurudumu makubwaTrekta Vifaa vya kuunganishwa na trektaTrekta Matumizi nje ya kilimoTrekta MarejeoTrektaIng.KilimoLat.

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Punda miliaIsraeli ya KaleVasco da GamaMkoa wa ManyaraOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaWakingaUwanja wa Taifa (Tanzania)Chama cha MapinduziVivumishi vya urejeshiMazingiraVielezi vya namnaMzeituniHistoriaUandishi wa inshaKinyongaHussein Ali MwinyiRaiaMaambukizi ya njia za mkojoWilaya ya Nzega VijijiniMkuu wa wilayaVivumishi vya -a unganifuWamasaiChumba cha Mtoano (2010)DubaiMkoa wa SimiyuKupatwa kwa JuaMwanza (mji)Orodha ya wanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoKigoma-UjijiSteve MweusiHekaya za AbunuwasiVita vya KageraShinikizo la juu la damuMartha MwaipajaHafidh AmeirMange KimambiAmfibiaKunguruTabataWilaya ya TemekeJulius NyerereHistoria ya WasanguWaluguruKamusi za KiswahiliNandyMamba (mnyama)KukiJinsiaTanganyika (maana)SodomaMnara wa BabeliWajitaUmememajiUenezi wa KiswahiliMbogaHistoria ya KiswahiliKitenziAfrika ya Mashariki ya KijerumaniBungeMkunduAustraliaJamhuri ya Watu wa ZanzibarMwanamkeUundaji wa manenoMunguNyaniMwakaKanye WestMkoa wa SingidaSaida KaroliKiambishi tamatiUbaleheWizara za Serikali ya Tanzania🡆 More