Uwanja Wa Michezo Wa Allianz Arena

Uwanja wa michezo wa Allianz Arena ni uwanja wa michezo kutoka Kaskazini mwa mji wa Munich, Ujerumani.

Kwa kuwa uwanja huo huwa na kawaida ya kuchezea Ligi kuu za mabingwa, ukapelekea kuitwa jina la Munich arena.

Uwanja Wa Michezo Wa Allianz Arena
Uwanja wa Allianz Arena.

Katika uwanja wa Allianz kuna timu mbili za mkoa huwa zinacheza katika uwanja huo. Moja kati ya timu hizo ni FC Bayern München na TSV 1860 München tangu msimu wa mwaka 2005/2006 wanachezea katika uwanja wao wa nyumbani.

Uwanja una viti vipatavyo 69,901. Wakati Kombe la Dunia la mwaka 2006 lililochezewa nchini Ujerumani, uwanja wa Allianz pia ulitumiwa.

Inasemekana kuwa, uwanja huo uligharimu takriban Euro milioni 340.

Picha

  • Picha zinazoonyesha baadhi ya maeneo ya uwanja Allianz Arena:

Viungo vya nje

Uwanja Wa Michezo Wa Allianz Arena 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
Uwanja Wa Michezo Wa Allianz Arena  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Allianz Arena kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

MichezoUjerumani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Chama cha Kijamaa-Kidemokrasia cha UjerumaniMohammed Gulam DewjiEverest (mlima)Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaVita vya KageraTabianchiMaigizoMjusi-kafiriKataMamaBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiVita ya Maji MajiHekalu la YerusalemuAndalio la somoVipera vya semiDubai (mji)MalipoMashuke (kundinyota)Mishipa ya damuMfumo wa upumuajiTenziBurundiNandyNileMalariaDiamond PlatnumzUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaFasihi andishiKunguruJamhuri ya Watu wa ChinaJohn Raphael BoccoLimauMbooMkoa wa LindiMivighaOrodha ya viwanja vya michezo TanzaniaWazaramoKatekisimu ya Kanisa KatolikiFani (fasihi)SintaksiLahajaNziNgw'anamalundiVirusi vya CoronaTanzaniaLigi Kuu Tanzania BaraMaeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya TanzaniaDubaiRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniUNICEFMselaMandhariMnazi (mti)Real MadridMbeya (mji)Misimu (lugha)WanilambaKanga (ndege)Tanganyika (ziwa)BahashaJinaWahayaJoziMkoa wa NjombeFasihi simuliziBara la AntaktikiWagogoNguruweJohn MagufuliWilaya ya KinondoniNomino za wingiNetiboliMaambukizi nyemeleziec4tgUislamu🡆 More