Kibretoni (kwa lugha hiyo: Brezhoneg) ni kati ya lugha za Kiselti, tawi la lugha za Kihindi-Kiulaya ambalo limerudi nyuma sana tangu zamani za Roma ya Kale lilipokuwa linatumika katika eneo kubwa sana la Ulaya hadi Uturuki wa leo.
Kibretoni pia ni hai bado, lakini katika hatari ya kutoweka.
Wanaoijua ni watu 226,000 hivi, hasa katika rasi ya Bretagne, kaskazini magharibi wa Ufaransa.
The Wikibook Brezhoneg has a page on the topic of |
|url-status=
ignored (help): Brittany information, articles about Breton.Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibretoni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kibretoni, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.