Joseph Fourier: Mwanahisabati na Mwanafizikia wa Kifaransa (1768-1830)

Jean Baptiste Joseph Fourier (21 Machi 1768 - 16 Mei 1830) alikuwa mtaalamu wa hisabati na fizikia kutoka nchini Ufaransa.

Joseph Fourier: Mwanahisabati na Mwanafizikia wa Kifaransa (1768-1830)
Joseph Fourier
Joseph Fourier: Mwanahisabati na Mwanafizikia wa Kifaransa (1768-1830)
Kwenye kaburi la Fourier mjini Paris

Maisha

Alionekana kuwa na vipaji vikubwa alipokuwa mwanafunzi shuleni huko Auxerre.

Alipofikia umri wa miaka 18 alipewa kazi ya profesa palepale.

Mwaka 1705 alihamia Paris akawa profesa wa hisabati.

Pamoja na Napoleon Bonaparte alikwenda Misri mwaka 1799 akashiriki katika utafiti wa nchi. Baada ya kurdi alikuwa mkuu wa mkoa wa Isère, baadaye wa mkoa wa Rhone.

Tangu mwaka 1815 aliishi mjini Paris akawa Katibu wa akademia ya sayansi.

Pamoja na shughuli hizi zote, alifanya tafiti mbalimbali za kifizikia. Alieleza jinsi gani joto linapanua ndani ya gimba mango na hii huitwa Kanuni ya Fourier.

Alibuni pia mbinu kadhaa za hisabati zilizo muhimu kwa fizikia ya kisasa.

Tags:

16 Mei1768183021 MachiFizikiaHisabatiMtaalamuUfaransa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mkoa wa KigomaMbwana SamattaBenderaUgonjwa wa uti wa mgongoMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya JamiiMethaliKanisaDhima ya fasihi katika maishaEthiopiaUzazi wa mpangoUlimwenguMkoa wa LindiMkoa wa Unguja Mjini MagharibiViwakilishi vya idadiAmina ChifupaUkristo nchini TanzaniaBahashaViunganishiDiglosiaJay MelodyMjombaMatumizi ya lugha ya KiswahiliVidonda vya tumboDiamond PlatnumzKenyaBaruaHarmonizeMwenge wa UhuruRushwaTungoMfumo wa Msimbo wa Posta TanzaniaWahaMamaInsha za hojaVitenzi vishiriki vipungufuIsimuKiumbehaiTafsiriInsha ya wasifuNevaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuWagogoAla ya muzikiMbadili jinsiaMnururishoPasakaHistoria ya TanzaniaViwakilishi vya kuoneshaKidole cha kati cha kandoSah'lomonTamthiliaWilaya ya NyamaganaOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaMaambukizi ya njia za mkojoKisaweJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoGeorDavieBungeMuungano wa Tanganyika na ZanzibarVokaliUandishiBaraMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaInshaAli KibaMvuaHekalu la YerusalemuYanga PrincessMtumbwiHaitiTafakuriEdward SokoineMzeituniMkoa wa Dar es SalaamHistoria ya IranMkoa wa TangaMwanza (mji)🡆 More