Eneo La Ng'ambo La Marekani

Maeneo ya ng'ambo ya Marekani ni visiwa na funguvisiwa vifuatavyo vinavyoorodheshwa hapa kufuatana na mahali pao ama katika Bahari ya Pasifiki au katika Bahari ya Karibi.

Sheria za Marekani zinaita visiwa hivi "Eneo la visiwani" (king.: "Insular areas"). Hii ni kila eneo chini ya mamlaka ya serikali ya Marekani lisilo sehemu ya majimbo 50 ya Marekani au mkoa wa mji mkuu.

Visiwa katika Bahari ya Karibi

Bendera Funguvisiwa
au kisiwa
Eneo la nchi kavu
(km²)
Hori la ndani
(km²)
Kifupi cha
ISO 3166-1
Eneo La Ng'ambo La Marekani  Puerto Rico 8.959 -- PR
Eneo La Ng'ambo La Marekani  Visiwa vya Virgin vya Marekani 349 -- VI
Navassa 5,4 --

Kituo cha kijeshi cha Guantanamo kipo pia katika Karibi ni eneo la Kuba lililokodishwa kwa Marekani.

Visiwa katika Bahari ya Pasifiki

Bendera Funguvisiwa
au kisiwa
Eneo la nchi kavu
(km²)
Hori la ndani
(km²)
Kifupi cha
ISO 3166-1
Eneo La Ng'ambo La Marekani  Guam 549 -- GU
Eneo La Ng'ambo La Marekani  Visiwa vya Mariana ya Kaskazini 477 -- MP
Eneo La Ng'ambo La Marekani  Samoa ya Marekani 199 -- AS
Eneo La Ng'ambo La Marekani  Visiwa vidogo vya nje vya Marekani 5,4 -- UM
– Kisiwa cha Baker 1,64 --
– Kisiwa cha Howland 1,85 --
– Kisiwa cha Jarvis 4,50 --
– Atolli ya Johnston 2,67 130
– Atolli ya Kingman 0,01 100
– Atolli ya Midway 6,20 40
– Atolli ya Palmyra 3,9 8
– Atolli ya Wake 6,50 6




Majimbo na maeneo ya Marekani
Majimbo ya Marekani
AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming
Mkoa wa Mji Mkuu
Mkoa wa Columbia (Washington D.C.)
Visiwa vya ng'ambo
Katika Pasifiki: Samoa ya MarekaniVisiwa vya Mariana ya KaskaziniGuamKatika Karibi: Puerto RicoVisiwa vya Virgin vya MarekaniVisiwa vidogo sana vya Pasifiki: • Kisiwa cha Howland • Kisiwa cha Jarvis • Atolli ya Johnston • Kingman Reef • Atolli ya Midway • Kisiwa cha Baker • Atolli ya Palmyra • Kisiwa cha WakeKisiwa kidogo cha Karibi: Kisiwa cha Navassa

Tags:

FunguvisiwaVisiwa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Wilaya ya KilindiImaniUfufuko wa YesuHoma ya iniMsengeMnara wa BabeliMaambukizi nyemeleziBendera ya TanzaniaKidole cha kati cha kandoAngkor WatIsraelAzimio la ArushaKupatwa kwa MweziWikipediaMfumo katika sokaNelson MandelaBaraza la mawaziri TanzaniaMkoa wa TangaOrodha ya programu za simu za WikipediaTetekuwangaNgonjeraStadi za lughaMkoa wa RuvumaSalaSentensiKiini cha atomuSabatoGhanaMuda sanifu wa duniaArudhiUchimbaji wa madini nchini TanzaniaUkimwiAC MilanCristiano RonaldoBrazilMakabila ya IsraeliTashihisiUkatiliMisimu (lugha)TanzaniaTafsiriTarakilishiKisiwa cha MafiaMamaAngahewaRayvannyUlayaLil WayneUnyevuangaNeemaTungo sentensiMkungaNandyNdege (mnyama)MoyoNomino za wingiInshaHijabuNabii IsayaNgono zembeMagonjwa ya machoKongoshoUajemiChawaHadithiYesuUmoja wa AfrikaKiunguliaUandishiJogooDiamond PlatnumzHekaya za AbunuwasiAbrahamuHistoria ya WokovuUshairi🡆 More