Jimbo New York: Jimbo la Marekani

New York ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko kwenye pwani la kaskazini-mashariki ya nchi ikipakana na majimbo ya Pennsylvania, Vermont, Massachusetts, Connecticut na New Jersey halafu nchi jirani ya Kanada.

New York
Jimbo New York: Jimbo la Marekani
Bendera
Jimbo New York: Jimbo la Marekani
Nembo
Nchi Bendera ya Marekani Marekani
Mji mkuu Albany
Eneo
 - Jumla 141,299 km²
 - Kavu 122,238 km² 
 - Maji 19,016 km² 
Tovuti:  http://www.ny.gov/
Jimbo New York: Jimbo la Marekani
Ramani ya jimbo la New York

Mji mkuu ni Albany lakini mji mkubwa ni New York.

Jimbo lina wakazi 19,254,630 kwenye eneo la 141,205 km².

Mto mkubwa ni Mto Hudson.

Ilikuwa moja ya koloni 13 asilia za Uingereza zilizoasi dhidi ya nchi mama tangu mwaka 1776 na kuanzisha Maungano ya Madola ya Amerika.

Marejeo

New York census data kutoka Factfinder.census.gov Archived 2020-02-12 at Archive.today

Jimbo New York: Jimbo la Marekani 
Wiki Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Jimbo New York: Jimbo la Marekani  Makala hii kuhusu maeneo ya New York bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu New York (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Msokoto wa watoto wachangaMoses KulolaWamasoniMadawa ya kulevyaNduniElibariki Emmanuel KinguHifadhi ya Mlima KilimanjaroUrenoJohn MagufuliLava Lava (mwimbaji)UaAfro-Shirazi PartyMuda sanifu wa duniaWhatsAppMuhammadMange KimambiKiambishi tamatiMkoa wa LindiTamthiliaUandishi wa ripotiLongitudoManchester United F.C.Ala ya muzikiHeshimaSisimiziTanzaniaNimoniaBunge la TanzaniaKifua kikuuKinembe (anatomia)Israeli ya KaleManispaaMuziki wa hip hopJinsiaMisemoRiwayaUtamaduni wa KitanzaniaMapenziLahajaVivumishi vya -a unganifuBendera ya ZanzibarMsamiatiInsha ya wasifuWamasaiMaambukizi ya njia za mkojoReal MadridLugha za KibantuHifadhi ya SerengetiOrodha ya kampuni za TanzaniaChristina ShushoKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniMatiniKipazasautiOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaFalme za KiarabuAlfabetiUnyanyasaji wa kijinsiaVivumishiMagonjwa ya machoItikadi kaliMkonoMorokoTafsiriUajemiPalestinaAntibiotikiRuge MutahabaUbongoYvonne Chaka ChakaAslay Isihaka NassoroMuundo wa inshaNdiziMtakatifu Marko🡆 More