Dubni (kwa Kiingereza: Dubnium) ni elementi sintetiki yenye namba atomia 105 kwenye mfumo radidia, uzani atomia ni takriban 262. Alama yake ni Db.
Dubni (dubnium) | |
---|---|
Jina la Elementi | Dubni (dubnium) |
Alama | Db |
Namba atomia | 105 |
Mfululizo safu | Metali ya mpito |
Uzani atomia | 262.0 |
Valensi | 2, 8, 18, 32, 32, 11, 2 |
Densiti | 29.3 g/cm³ (kadirio) |
Ugumu (Mohs) | {{{ugumu}}} |
Asilimia za ganda la dunia | 0 % (elementi sintetiki) |
Hali maada | inaaminiwa ni mango |
Mengineyo | tamburania, nururifu |
Baada ya kugunduliwa katika maabara iliitwa majina tofauti kama vile eka-tantalum, hahnium na unnilpentium lakini hatimaye jina likawa Dubni kwa kumbukumbu ya mji wa Urusi wa Dubna ambako iligunduliwa.
Ni elementi nururifu sana isiyopatikana kiasili. Ni elementi sintetiki au tamburania yaani haipatikani kiasili. Sababu yake ni kwamba nusumaisha ya isotopi zake ni fupi mno. 268Db (isotopi thabiti zaidi) ina nusumaisha ya masaa 28.
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dubni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Dubni, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.