Baba Fryo: Mwimbaji wa Nigeria

Baba Fryo (jina la kuzaliwa Friday Igwe) ni mwimbaji mkongwe wa Nigeria kutoka Ajegunle . Wimbo wake maarufu nchini Nigeria uliitwa "Dem go dey pose" alioutoa mwishoni mwa miaka ya 1990.

Friday Igwe
Amezaliwa
Ajegunle
Nchi Nigeria kutoka Ajegunle
Majina mengine Baba Fryo
Kazi yake mwimbaji

Maisha binafsi

Baba Fryo alisema mwaka 2017 kwamba alitamani kuoa mwanamke ambaye pia anafanya biashara ya showbiz.

Alilalamika kwamba kama angeowa mtu mashuhuri kama yeye, kazi yake isingeshuka kama ilivyokuwa kwa sababu mke angeinua kazi yake pia. Hata hivyo alisema bidii nyingi zimemsaidia sana.

Marejeo

Baba Fryo: Mwimbaji wa Nigeria  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Baba Fryo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mkoa wa ShinyangaMartha MwaipajaHekaya za AbunuwasiKonsonantiKisononoWaheheKisukuruBendera ya KenyaMbuga za Taifa la TanzaniaFamiliaMkoa wa RuvumaMichael JacksonDaudi (Biblia)NgiriChristopher MtikilaNominoClatous ChamaKinembe (anatomia)BaraMsamahaRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniUmoja wa MataifaFigoDar es SalaamMahakamaKiunguliaOrodha ya milima ya TanzaniaUsanifu wa ndaniDubai (mji)UchumiRoho MtakatifuWilaya ya IlalaUturukiMkoa wa KageraVitamini CMeta PlatformsBinadamuMishipa ya damuUandishi wa inshaMtakatifu MarkoMtume PetroYanga PrincessVivumishi vya kumilikiSamakiDivaiCristiano RonaldoHadhiraKiraiHistoria ya uandishi wa QuraniKukuBahari ya HindiKhalifaMatiniMbogaWilaya ya TemekeAlama ya uakifishajiPapaPapa (samaki)MuhimbiliVieleziVita ya Maji MajiChuo Kikuu cha Dar es SalaamInsha za hojaMiundombinuTarbiaSayansi ya jamiiBaruaKimara (Ubungo)Athari za muda mrefu za pombeWingu (mtandao)Goba (Ubungo)MjombaFasihi🡆 More