Kijiji

Kijiji maana yake kwa Kiswahili ni mji mdogo.

Kadiri ya mazingira, kinaweza kuwa na wakazi mia chache hadi elfu chache.

Kijiji
Kijiji cha Waberberi huko Ourika, Atlas, Moroko
Kijiji
Kijiji cha mbali huko Benin

Kwa kawaida vinapatikana mbali na miji, mashambani au porini kabisa.

Kijiji kama makazi ya wakulima

Kiasili idadi kubwa ya wanavijiji ni wakulima na asilimia ya wakazi wanaofanya kazi tofauti ni ndogo. Kihistoria watu wengu duniani waliishi katika vijiji na kujitegemea humo.

Katika nchi zilizoendelea kilimo kimebadilika na wakulima wamekuwa wachache wanaoendelea kulima mashamba yote kwa msaada wa mashine. Hapo wakazi wengine wa kijiji wanafanya kazi nje wakisafiri kila siku hadi mahali pa ofisi, duka au kiwanda.

Siku hizi kwenye Dunia kwa jumla wanadamu wanaoishi katika miji mikubwa ni wengi kuliko wale wanaoishi bado vjijini.

Kijiji kama kitengo cha utawala

Katika nchi nyingi kijiji ni pia ngazi ya chini ya utawala wa nchi. Kwa mfano nchini Tanzania kijiji kinajumlisha vitongoji kadhaa na pamoja a vijiji vingine inafanya kata.


Tanbihi

Viungo vya nje

Kijiji 
Wiki Commons ina media kuhusu:

Tags:

Kijiji kama makazi ya wakulimaKijiji kama kitengo cha utawalaKijiji TanbihiKijiji Viungo vya njeKijijiElfuKiswahiliMiaMji

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

WaluguruSadakaWilaya ya KinondoniKamusiVivumishi vya sifaMhandisiMbezi (Ubungo)Kifua kikuuMaarifaMaliasiliJoziWamasaiSentensiSeli za damuMange KimambiKatibaVivumishi vya -a unganifuKiunzi cha mifupaAkiliAfrika KusiniBenki ya DuniaBarua rasmiRisalaMJLigi Kuu Uingereza (EPL)Mbwana SamattaHomoniTafsidaKitomeoSumakuUhuru wa TanganyikaMrijaWilaya ya NyamaganaHistoria ya BurundiShetaniTetemeko la ardhiMisemoOrodha ya maziwa ya TanzaniaViwakilishiOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaFamiliaPhilip Isdor MpangoMaambukizi ya njia za mkojoNembo ya TanzaniaNamba tasaNgiriMtandao wa kompyutaNgonjeraWilaya ya IlalaUandishiMakabila ya IsraeliKitunda (Ilala)UkristoKongoshoMkataba wa Helgoland-ZanzibarFasihi andishiArusha (mji)Ukristo nchini TanzaniaKalenda ya KiislamuShangaziSheriaLafudhiTanzaniaMkoa wa RuvumaVidonda vya tumboMkoa wa DodomaLughaBiashara ya watumwaMpira wa miguuWilaya ya Ubungo🡆 More