Treni

Treni (kutoka Kiingereza train; huitwa pia gari la moshi au garimoshi) ni chombo cha usafiri kwenye reli za garimoshi.

Pia anaendesha hili jombo anaitwa nahodha.

Treni
Treni za TRC kituoni huko Dar es Salaam.
Treni
Treni.

Treni inamaanisha jumla ya mabehewa inayovutwa au kusukumwa na injinitreni kwenye njia ya reli. Mfumo wa usafiri kwa treni huitwa kwa kifupi reli.

Mabehewa haya yanaweza kubeba watu au mizigo, hivyo kuna tofauti kati ya treni ya abiria na treni ya mizigo.

Mahali ambako treni inasimama na kupokea abiria au mizigo huitwa kituo cha reli.

Picha

Treni 
Treni

Tags:

KiingerezaReli za garimoshiUsafiri

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KiarabuNgamiaZuchuMapafuHadhiraRita wa CasciaKamusi za KiswahiliHaki za binadamuLugha ya programuFonetikiKondomu ya kikeHali maadaWamandinkaNdoo (kundinyota)Dizasta VinaAfande SeleSaratani ya mapafuMashuke (kundinyota)Walawi (Biblia)Wizara za Serikali ya TanzaniaSeli nyeupe za damuKilwa KivinjeSisimiziUtegemezi wa dawa za kulevyaMbeya (mji)UkabailaAngahewaNgome ya YesuNominoKiumbehaiAlama ya uakifishajiKiunguliaNomino za kawaidaSayansiUjimaVieleziOrodha ya milima ya TanzaniaUlumbiTovutiJomo KenyattaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaNafsiHoma ya manjanoBibliaKorea KaskaziniSoko la watumwaLeopold II wa UbelgijiMzabibuSteve MweusiBinamuTeknolojia ya habariPasaka ya KikristoKiambishiOsama bin LadenTabianchiAgano JipyaFasihiNuru InyangeteUbaleheLughaUbuntuVivumishiKitenzi kikuu kisaidiziKisononoNyokaBarua pepeMwanamkeRiwayaMuungano wa Tanganyika na ZanzibarKisaweAngkor WatMatendeKifo cha Yesu🡆 More