Zeland

Zeland (kwa Kidenmark: Sjælland) ni kisiwa kikubwa cha Denmark kilichopo kwenye mashariki ya nchi hiyo.

Inatenganishwa na Uswidi kwa mlangobahari wa Øresund upande wa mashariki. Eneo la Zeland ni kilomita za mraba 7,031.

Zeland
Zeland ndani ya Denmark
Zeland
Zeland (Sjaelland) katika Denmark

Kuna wakazi wapatao 2,268,000 wanaoishi kisiwani kufuatana na sensa ya mwaka 2016. Wengi wao wanaishi karibu na Kopenhagen ambayo ni mji mkuu wa Denmark.

Zeland imeunganishwa na sehemu nyingine za Denmark kwa njia ya madaraja na njia chini ya bahari ambayo ni pamoja na:

  • Daraja la Belt Kubwa ambalo linaunganisha Zeland na Funen, kisiwa cha magharibi.
  • Daraja la Storstrøm, linalounganisha Zeland na Lolland, kisiwa cha kusini.
  • Daraja la Øresund, ambalo linaunganisha Zeland na Uswidi upande wa mashariki, karibu na Malmö.
Zeland Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Zeland kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

DenmarkKidenmarkKilomita za mrabaKisiwaMasharikiMlangobahariOresundUswidi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

NimoniaNgome ya YesuOrodha ya maziwa ya TanzaniaNabii EliyaKahawiaFiston MayeleHadithi za Mtume MuhammadOrodha ya Marais wa ZanzibarKifua kikuuMashariki ya KatiKigoma-UjijiMbeguUgonjwa wa uti wa mgongoHoma ya manjanoKiumbehaiFamiliaAlama ya barabaraniShirika la Utangazaji TanzaniaNjia ya MsalabaKibodiKisononoAfrika ya MasharikiInsha ya wasifuMamaPonografiaNdovuMtaalaEe Mungu Nguvu YetuMshororoZana za kilimoKwaresimaShereheLeopold II wa UbelgijiRita wa CasciaOrodha ya mikoa ya Tanzania na MaendeleoAli Hassan MwinyiMbiu ya PasakaMnururishoUchawiMkoa wa RukwaKitenzi kikuu kisaidiziOrodha ya viwanja vya ndege nchini TanzaniaNdoaHistoria ya UislamuAgano JipyaKadi za mialikoBenderaKisaweSisimiziZakaUundaji wa manenoShikamooWallah bin WallahHistoria ya KiswahiliFaraja KottaUfufuko wa YesuMtume PetroTungo kishaziAzimio la kaziUgonjwaSayansiDubaiAlfabetiIndonesiaUchekiKairoOrodha ya Magavana wa Tanganyika28 MachiVivumishi vya pekeeOsama bin LadenNdegeVielezi vya namnaMnara wa BabeliRushwa🡆 More