Kopenhagen

Mahali pa Kopenhagen katika Denmark

Kopenhagen, Denmark
Kopenhagen

Eneo
 - Mji
 - Mkoa wa Jiji

88 km²
455.61 km²
Wakazi
(2006-01-01)
 - Mji
 - Mkoa wa Jiji
 - Msongamano (mji/jiji)


501,158
1,115,035
5695/km² / 2447/km²
Kanda la wakati Ulaya ya Kati: UTC+1
Latitudo
Longitudo
55°43' N
12°34' E

Kopenhagen (kwa Kidenmark: København = "Bandari ya wafanya biashara") ni mji mkuu wa Denmark pia mji mkubwa wa nchi na kitovu cha utawala, uchumi na utamaduni.

Kopenhagen
Sanamu ya Nguva Mdogo kufuatana na hadithi ya mshairi Mdani Hans Christian Andersen
Kopenhagen
Kopenhagen, picha ya angani
Kopenhagen
Katika mji wa kale ya Kopenhagen

Jiografia

Kopenhagen iko Zealand (Sjælland) ambacho ni kisiwa kikubwa cha Denmark. Iko karibu na mji wa Malmo katika Uswidi ulio ng'ambo ya mlango wa bahari ya Oresund unaounganisha bahari ya Baltiki na Kattegat kuelekea Bahari ya Kaskazini. Sehemu ndogo ya mji iko kwenye kisiwa cha Amager.

Eneo la Kopenhagen lina miji ya Kopenhagen yenyewe (wakazi 501,158), Frederiksberg (wakazi 91,855), Gentoftev (wakazi 68,623) na wakazi wengine 453,399 katika miji midogomidogo ndani ya wilaya ya Kopenhagen.

Mahali pa Kopenhagen panapopendekezwa

  • Palais Amalienborg
  • Bakken
  • Christiania
  • Christiansborg
  • Copenhagen Zoo
  • Makumbusho ya Sanaa ya Denmark
  • Bustani ya Wanyama
  • Kanisa la Mt. Alban
  • Jumba la Frederiksborg
  • Jumba la Kronborg
  • Nguva Mdogo
  • Makumbusho wa kitaifa
  • Bustani ya Tivoli
  • Opera ya Kopenhagen

Watu mashuhuri wenye uhusiano na Kopenhagen

  • Hans Christian Andersen - mshairi (karne ya 19)
  • Arne Jacobsen - msanifu majengo (karne ya 20)
  • Niels Bohr - mwanafizikia na mshindi wa tuzo ya Nobel (karne ya 20)
  • Tycho Brahe - mwanafalaki (karne ya 16)
  • Nicolai Grundtvig - mchungaji, mwanatheologia, mwalimu (karne ya 19)
  • Søren Kierkegaard - mwanafalsafa na mwanatheologia (karne ya 19)

Viungo vya Nje

Kopenhagen 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
Kopenhagen  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kopenhagen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Kopenhagen JiografiaKopenhagen Mahali pa panapopendekezwaKopenhagen Watu mashuhuri wenye uhusiano na Kopenhagen Viungo vya NjeKopenhagen

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Osama bin LadenHuduma za Maktaba TanzaniaViwakilishi vya kumilikiUchawiJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMziziKiambishiShomari KapombeMbeya (mji)TabiaNguzo tano za UislamuLenziKiini cha atomuMichezoKalenda ya KiislamuOrodha ya makabila ya TanzaniaUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiJokate MwegeloUtafitiKiwakilishi nafsiOrodha ya Marais wa BurundiWazigulaZanzibar (Jiji)Uzazi wa mpangoKanisa KatolikiIsimuBendera ya ZanzibarWanyamaporiKajala MasanjaSamia Suluhu HassanRiwayaMalariaLughaInsha za hojaLingua frankaNambaMjusi-kafiriHifadhi ya SerengetiInsha ya kisanaaKata za Mkoa wa Dar es SalaamMshubiriMaajabu ya duniaDaudi (Biblia)Michezo ya watotoFilomena wa RomaTiktokAli KibaAbedi Amani KarumeMaadiliMkoa wa ShinyangaMavaziMapenziMfumo wa vyama vingiSaratani ya mlango wa kizaziSimbaYesuKiunzi cha mifupaAfrikaPesaDuniaKiburiUtendi wa Fumo LiyongoEdward SokoineHistoria ya UturukiUkoloniSerikaliVichekeshoMuda sanifu wa duniaMwanza (mji)MzunguMashariki🡆 More