Wilaya Ya Biharamulo

Wilaya ya Biharamulo ni wilaya mojawapo kati ya 8 za Mkoa wa Kagera, Tanzania kaskazini magharibi, yenye postikodi namba 35600 .

Wilaya Ya Biharamulo
Mahali pa Biharamulo (kijani) katika mkoa wa Kagera.

Wakazi

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 323,486 na katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 457,114 .

Wasubi, walio kundi linalohesabiwa kati ya Wanyambo, Wazinza, Wahaya na Walongo, ndio wakazi asilia wa wilaya ya Biharamulo,

Jina

Inasemekana, asili ya jina Biharamulo ni neno la Kisubi "Niharemuno" likimaanisha "Ni mbali mno". Neno hilo lilikuwa jibu la mzee mmoja kwa Mzungu aliyemuuliza wakati wanasafiri pamoja kutoka Geita kwenda kijiji cha Nyarubungo kilichopo Biharamulo. Mzungu alimuuliza Mzee huyo, "How many kilometers from here to Nyarubungo?" yaani, "Kuna kilomita ngapi kutoka hapa kwenda Nyarubungo?" na mzee yule alijibu, "niharemuno" akimaanisha "ni mbali mno'.

Historia

Wilaya hii pamoja na Wilaya ya Karagwe zilianzishwa na kutangazwa rasmi na Gavana wa Kiingereza Richard Turnbull mwaka 1958.

Shughuli

Uchumi ni pamoja na ufugaji wa ng'ombe na mbuzi, kilimo cha kahawa, migomba, mihogo, mahindi, maharage na zao la pamba katika maeneo machache. Shughuli nyingine za kiuchumi katika wilaya ya Biharamulo ni uvuvi, biashara na uchimbaji madini.

Marejeo

Viungo vya nje

Wilaya Ya Biharamulo  Kata za Wilaya ya Biharamulo - Mkoa wa Kagera - Tanzania Wilaya Ya Biharamulo 

Biharamulo Mjini | Bisibo | Kabindi | Kalenge | Kaniha | Katahoka | Lusahunga | Nemba | Nyabusozi | Nyakahura | Nyamahanga | Nyamigogo | Nyantakara | Nyanza | Nyarubungo | Runazi | Ruziba

Wilaya Ya Biharamulo  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kagera bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Biharamulo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.

Tags:

Wilaya Ya Biharamulo WakaziWilaya Ya Biharamulo JinaWilaya Ya Biharamulo HistoriaWilaya Ya Biharamulo ShughuliWilaya Ya Biharamulo MarejeoWilaya Ya Biharamulo Viungo vya njeWilaya Ya BiharamuloKaskaziniMagharibiMkoa wa KageraNambaPostikodiTanzaniaWilaya

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mfumo wa Msimbo wa Posta TanzaniaSexKarafuuAlfabetiStadi za lughaLilithMwana FAUtamaduniKipazasautiSaratani ya mlango wa kizaziMoses KulolaKanda Bongo ManHistoria ya TanzaniaKifaruVasco da GamaKanye WestAli Hassan MwinyiWanyama wa nyumbaniNetiboliVirusi vya UKIMWIAbrahamuBendera ya KenyaMaajabu ya duniaAli KibaLahajaMtumbwiNamba tasaUtandawaziShahawaViwakilishi vya kumilikiNgonjeraMariooViwakilishiUhuru wa TanganyikaUundaji wa manenoNgeliHistoria ya Kanisa KatolikiNembo ya TanzaniaZabibuKongoshoMapenzi ya jinsia mojaWhatsAppKilimoWilaya za TanzaniaWingu (mtandao)UshairiMilanoSakramentiHaki za watotoHali ya hewaMilango ya fahamuTabianchiMuda sanifu wa duniaNomino za dhahaniaMahakamaWilaya ya UbungoUfugaji wa kukuSteven KanumbaOrodha ya viongoziMagharibiIsraelUsafi wa mazingiraMaana ya maishaKoloniSoko la watumwaPunyetoVitenzi vishirikishi vikamilifuVita ya Maji MajiKiambishi tamati🡆 More