Soko La Hisa

Soko la hisa (kwa Kiingereza stock exchange) ni mahali pa biashara ya hisa za makampuni.

Soko La Hisa
New York Stock Exchange ni soko la hisa lenye biashara nyingi duniani.

Mara nyingi "soko la hisa" lamaanisha taasisi au jengo ambako biashara hii inafanywa. Lakini jina hili laweza pia kumaanisha jumla ya biashara ya hisa katika nchi fulani au katika tawi la uchumi (ing. "share / stock market") kwa kujumlisha taasisi mbalimbali katika nchi au biashara kwa njia ya intaneti.

Masoko ya hisa muhimu ya kimataifa

  • American Stock Exchange
  • Bombay Stock Exchange
  • Euronext
  • Frankfurt Stock Exchange
  • Helsinki Stock Exchange
  • Hong Kong Stock Exchange
  • Johannesburg Securities Exchange
  • London Stock Exchange
  • Madrid Stock Exchange
  • Milan Stock Exchange
  • Nairobi Stock Exchange
  • NASDAQ
  • National Stock Exchange
  • New York Stock Exchange
  • São Paulo Stock Exchange
  • Korea Stock Exchange
  • Shanghai Stock Exchange
  • Singapore Exchange
  • Stockholm Stock Exchange
  • Taiwan Stock Exchange
  • Tokyo Stock Exchange
  • Toronto Stock Exchange
  • Zürich Stock Exchange

Masoko ya hisa muhimu zaidi barani Afrika

Kwa jumla kuna masoko ya hisa 29 barani Afrika yanayohudumia nchi 38.

Kuna masoko ya hisa 2 ya kikanda ambayo ni:

Masoko ya hisa ya kwanza katika Afrika yaliundwa Misri (mwaka 1883), Afrika Kusini (mwaka 1887) na Moroko (1929).

Nchi/ Kanda Soko la Hisa Mahali lilianzishwa Idadi ya makampuni Kiungo
Soko la hisa la Afrika Magharibi Bourse Régionale des Valeurs Mobilières Abidjan (Soko La Hisa  Côte d'Ivoire) 1998 39 BRVM
Soko La Hisa  Algeria Soko la hisa Algiers Algiers 1997 3 SGBV
Soko La Hisa  Botswana Soko la hisa Botswana Gaborone 1989 44 BSE
Soko La Hisa  Cameroon Soko la hisa Douala Douala 2001 2 DSX
Soko La Hisa  Egypt Soko la hisa Misri Kairo, Aleksandria 1883 EGX Archived 22 Oktoba 2011 at the Wayback Machine.
Soko La Hisa  Cape Verde Soko la hisa Cabo Verde Mindelo BVC
Soko La Hisa  Eswatini Soko la hisa Eswatini* Mbabane 1990 10 ESE Archived 19 Juni 2021 at the Wayback Machine.
Soko La Hisa  Ghana Soko la hisa Ghana Accra 1990 28 GSE
Soko La Hisa  Kenya Soko la hisa Nairobi Nairobi 1954 50 NSE
Soko La Hisa  Libya Soko la hisa Libya Tripoli 2007 7 LSM Archived 14 Januari 2018 at the Wayback Machine.
Soko La Hisa  Malawi Soko la hisa Malawi Blantyre 1995 8 MSE
Soko La Hisa  Mauritius Soko la hisa Morisi Port Louis 1988 40 SEM
Soko La Hisa  Morocco Soko la hisa Casablanca Casablanca 1929 81 Casa SE Archived 24 Agosti 2009 at the Wayback Machine.
Soko La Hisa  Mozambique Soko la hisa Msumbiji Maputo 1999 BVM
Soko La Hisa  Namibia Soko la hisa Namibia Windhoek 1992 NSX
Soko La Hisa  Nigeria Soko la hisa Abuja Abuja 1998 ASCE Archived 1 Februari 2007 at the Wayback Machine.
Soko la hisa Nigeria Lagos 1960 223 NSE Archived 6 Oktoba 2020 at the Wayback Machine.
Soko La Hisa  Rwanda Soko la hisa Rwanda Kigali 2005 4 RSE
Soko La Hisa  Seychelles Soko la hisa Shelisheli* Victoria 2012 10 SSE Archived 27 Oktoba 2012 at the Wayback Machine.
Soko La Hisa  South Africa Soko la hisa Johannesburg Johannesburg 1887 410 JSE
Soko La Hisa  Sudan Soko la hisa Khartum Khartum KSE Archived 27 Novemba 2012 at the Wayback Machine.
Soko La Hisa  Tanzania Soko la hisa Dar es Salaam Dar es Salaam 1998 17 DSE
Soko La Hisa  Tunisia Soko la hisa Tunisia Tunis 1969 56 BVMT
Soko La Hisa  Uganda Soko la hisa Uganda Kampala 1997 14 USE
Soko La Hisa  Zambia Soko la hisa za kilimo Zambia Lusaka 2007 ZAMACE
Soko la hisa Lusaka Lusaka 1994 16 LuSE
Soko La Hisa  Zimbabwe Soko la hisa Zimbabwe Harare 1993 81 ZSE

Viungo vya nje

Soko La Hisa 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Soko La Hisa  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Soko la hisa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

BiasharaHisaKampuniKiingereza

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ufugaji wa kukuDodoma (mji)Mfumo wa mzunguko wa damuUgonjwa wa uti wa mgongoBiashara ya watumwaNg'ombeSanaa za maoneshoAfrika ya Mashariki ya KijerumaniMatiniSayansi ya jamiiSoko la watumwaWakingaVivumishi vya idadiKariakooYanga PrincessVichekeshoTanganyika (maana)Kiwakilishi nafsiTarbiaSerikaliMfuko wa Mawasiliano kwa WoteMuhammadNetiboliStadi za lughaInjili ya MarkoWayahudiDivaiMkoa wa SimiyuMkopo (fedha)Jumuiya ya MadolaUDAMbooAbrahamuMaghaniJamhuri ya Watu wa ChinaSheriaKiingerezaMizimuHisiaLongitudoMajiMadawa ya kulevyaHistoria ya AfrikaSimba (kundinyota)KoloniDawa za mfadhaikoMusaMtakatifu PauloMfumo wa Msimbo wa Posta TanzaniaMchwaKunguruHistoria ya TanzaniaIntanetiKidole cha kati cha kandoUkristo barani AfrikaKamusi ya Kiswahili sanifuBendera ya KenyaUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020Mkoa wa SingidaMajigamboWahadzabeMasafa ya mawimbiMkoa wa DodomaKiambishi tamatiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMnyamaPichaBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiJinaMbogaTendo la ndoaHistoria ya ZanzibarNomino za wingiKataKiongoziUtoaji mimba🡆 More