Soko La Hisa La Dar-Es-Salaam

Soko la Hisa la Dar es Salaam ni liko Dar es Salaam, mji mkubwa zaidi nchini Tanzania.

Liliunganishwa mnamo Septemba 1996 na ununzi ulianza Aprili mwaka wa 1998; soko hili ni mwanachama wa Shirika la Masoko ya Hisa ya Afrika. Kwa sasa lina makampuni 11 yaliyoorodheshwa. Ununuzi hufanyika kwa muda wa chini ya saa moja kwa kila juma[0].





Soko La Hisa La Dar-Es-Salaam
Nembo

Orodha ya kampuni zilizorodheshwa

Kifupisho Kampuni Maelezo
1.DAHACO Dar es Salaam Airports Handling Company Shughuli za uchukuzi wa angani na majini
2.EABL East African Breweries Bia, Gin, mvinyo
3.KQ Kenya Airways Usafiri wa anga
4.SIMBA Tanga Cement Saruji
5.TBL Tanzania Breweries Inashirikiana na shirika la South African Breweries
6.TCC Tanzania Cigarette Company Bidhaa za tumbaku, Sigara
7.TOL Tanzania Oxygen Oksijeni, Nitrojeni, asetilini, gesi za dawa, vifaa vya kulehemu
8.TATEPA Tanzania Tea Packers Chai na Kahawa
9.TWIGA Twiga Cement Saruji
10.NICOL Taifa Investments Company Limited Uwekezaji
11.KCB Kampuni ya Kenya Commercial Bank Benki


  • Kampuni za East African Breweries na Kenya Airways zimeorodheshwa kwenye soko la hisa la Uganda Securities Exchange na Soko la Hisa la Nairobi.
  • Kampuni ya Kenya Commercial Bank imeorodheshwa pia kwenye soko la hisa la Nairobi, soko la hisa la Uganda Securities Exchange na soko la hisa la Rwanda[1]

Tazama Pia


Viungo vya nje

Marejeo


Soko La Hisa La Dar-Es-Salaam  Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Soko la Hisa la Dar-es-Salaam kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Soko La Hisa La Dar-Es-Salaam Orodha ya kampuni zilizorodheshwaSoko La Hisa La Dar-Es-Salaam Tazama PiaSoko La Hisa La Dar-Es-Salaam Viungo vya njeSoko La Hisa La Dar-Es-Salaam MarejeoSoko La Hisa La Dar-Es-SalaamTanzania

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

TundaYesuKiswahiliRamadan (mwezi)Hali maadaHektariSayansiShikamooTmk WanaumeHassan bin OmariHijabuKitenzi kikuu kisaidiziHoma ya manjanoUingerezaMkoa wa KilimanjaroKamusi elezoUsafi wa mazingiraSerikaliBunge la Afrika MasharikiUmaskiniFasihiVitenzi vishirikishi vikamilifuKisimaAina za udongoTarehe za maisha ya YesuKondoo (kundinyota)VieleziKichochoMombasaMwanaumeUlemavuMjombaTafsiriHistoria ya WapareFonetikiNomino za wingiAfande SeleUbaleheMapambano ya uhuru TanganyikaDuniaNomino za kawaidaJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoUmoja wa MataifaUhuru wa TanganyikaMwanzoMusuliKongoshoMohammed Gulam DewjiFonolojiaMisriPasakaKunguruSoko la watumwaUchimbaji wa madini nchini TanzaniaNamba tasa27 MachiMsitu wa AmazonLigi Kuu Tanzania BaraVirusiShambaVasco da GamaMkwawaMbuniOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaAina za manenoYuda IskariotiMamaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaKairoMillard AyoSaida KaroliWayahudiKylian MbappéKanisa KatolikiJay Melody🡆 More