Kenya Airways ni kampuni ya ndege ya taifa ya Kenya yenye makao makuu jijini Nairobi.
Kampuni hii ilianza kufanya kazi zake mwaka 1977 baada ya kuvunjika kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki kulikopelekea kuvunjika kwa "East African Airways". Hivi sasa kampuni hii inatoa huduma barani Afrika, Ulaya na India. Kampuni hii ina safari nyingi za ndege nje ya Afrika kuliko kampuni yoyote barani Afrika. Kampuni hii ilikuwa ikimilikiwa asilimia 100 na serikali ya Kenya mpaka mwaka 1996.
| ||||
Kimeanzishwa | 4 Februari 1977 | |||
---|---|---|---|---|
Vituo vikuu | Jomo Kenyatta International Airport, Moi International Airport | |||
Muungano | SkyTeam | |||
Ndege zake | 30 | |||
Shabaha | 46 | |||
Nembo | "The Pride of Africa" | |||
Makao makuu | Embakasi, Nairobi, Kenya | |||
Watu wakuu | Titus Naikuni (CEO) Alex Mbugua (CFO) Evanson Mwaniki (Chairman) | |||
Tovuti | www.kenya-airways.com |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kenya Airways, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.