Accra: Mji mkuu wa Ghana

Accra ni mji mkuu wa Ghana ukiwa na wakazi 1 650 000.

Accra ni kitovu cha uchumi, biashara na mawasiliano ya nchi. Iko ndani ya mkoa wa Accra Kuu.

Accra: Mji mkuu wa Ghana
Mji mkuu wa Ghana, Accra
Jiji la Accra
Nchi Ghana
Mkoa Greater Accra
Wilaya Accra Metropolis
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 2,270,000 (1,910)
Tovuti:  ama.ghanadistricts.gov.gh
Accra: Mji mkuu wa Ghana
Mahali pa Accra katika Ghana
Accra: Mji mkuu wa Ghana
Labadi Beach
Accra: Mji mkuu wa Ghana
Accra mjini

Historia

Accra ilianzishwa na Waga katika karne ya 15 BK kama kituo cha biashara na Wareno. Wareno walijenga boma kwa ajili ya biashara hiyo na Waswidi, Waholanzi, Wafaransa, Waingereza na Wadenmark walifuata.

Eneo la Accra ya leo liliendelea kuwa mji kati ya boma tatu za Uingereza (Jamestown), Denmark (Osu) na Uholanzi (Ussherstown). Maeneo hayo matatu leo ni kitovu cha mji wa kisasa.

Baada ya Waingereza kushinda Waashanti, Accra ikawa mji mkuu wa koloni la Pwani la dhahabu. Mji uliendelea kukua baada ya kujengwa kwa reli na bandari.

Katika miaka ya 1940 Accra ilikuwa pia mwanzo wa upinzani dhidi ya Waingereza ulioleta uhuru wa Ghana mwaka 1956.

Leo hii Accra imepata mji pacha wa karibu wa Tema baada ya kuhamishwa kwa viwanda na bandari kwenda Tema inayounganishwa na Accra yenyewe kwa reli na barabara kuu.

Marejeo

Viungo vya nje

Accra: Mji mkuu wa Ghana 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
Accra: Mji mkuu wa Ghana  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Accra kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

BiasharaGhanaKitovuMawasilianoMji mkuuUchumi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Nyati wa AfrikaUvuviFatma KarumeHistoria ya UislamuMichezo ya jukwaaniHadithi za Mtume MuhammadLahajaViwakilishi vya kuoneshaUtumbo mwembambaMaghaniHistoria ya ZanzibarJipuKipimajotoMandhariMnururishoKalenda ya KiyahudiUsafi wa mazingiraPesaJuaKwaresimaNomino za wingiKanisa KatolikiNgeli za nominoMajiZana za kilimoMizani (kundinyota)Orodha ya majimbo ya MarekaniPasifikiIsraeli ya KaleTabianchiMkanda wa jeshiMitume na Manabii katika UislamuNgonjeraUtawala wa Kijiji - TanzaniaHekalu la YerusalemuLucky DubeAbrahamuKitabu cha AmosiUfahamuMalaikaNuktambiliMohamed HusseinKomaDuniaSomaliaAkiliBiasharaHadithiUchimbaji wa madini nchini TanzaniaVidonge vya majiraMachweoMkoa wa ManyaraEe Mungu Nguvu YetuKiambishi awaliManchester United F.C.ShairiFonolojiaIsimuMuungano wa Tanganyika na ZanzibarMaigizoUandishi wa inshaKiumbehaiKatibaTreniKitenzi kikuuMsalaba wa YesuKiini cha atomuNishatiJoseph Sinde WariobaJay MoeMaishaSoko la watumwaLugha za KibantuMlongeMafuta ya petroliNyangumi🡆 More