Skandinavia

Skandinavia ni eneo la Ulaya ya Kaskazini.

Kwa kawaida neno linataja nchi tano za Norwei, Uswidi, Udani, Ufini na Iceland.

Skandinavia
Bendera za nchi za Skandinavia (Ufini, Norwei, Iceland, Uswidi na Denmark (imefunikwa)
Skandinavia
Picha ya angani ya Skandinavia wakati wa majira ya baridi - rangi nyeupe ni theluji na barafu zinazofunika nchi yote pamoja na sehemu za bahari.

Kwa maana nyingine "Skandinavia" ni nchi mbili za rasi ya Skandinavia pekee, yaani Norwei na Uswidi.

Lugha za Skandinavia ziko karibu sana; zote ni Kigermanik ya Kaskazini isipokuwa Kifini ambacho ni lugha yenye asili ya Asia.

Viungo vya nje

Skandinavia 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Skandinavia  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Skandinavia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

DenmarkIcelandNenoNorweiUfiniUlaya ya KaskaziniUswidi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Chama cha MapinduziKiraiAmfibiaMapenziMalariaTume ya Taifa ya UchaguziUkoloniBiasharaMziziMaradhi ya zinaaSodomaMizimuWaheheBahashaSheriaNusuirabuMishipa ya damuBiashara ya watumwaWahayaUgonjwaMpira wa miguuTawahudiNdiziDubai (mji)MtaalaMkoa wa ArushaBruneiMkoa wa KigomaKiimboNyegeOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaMaji kujaa na kupwaMahindiAsidiUnyevuangaMkoa wa SimiyuVieleziJay MelodyIsraelTaswira katika fasihiBurundiKanga (ndege)SakramentiAli Hassan MwinyiMatumizi ya LughaLafudhiShikamooMagonjwa ya kukuAfrikaOrodha ya kampuni za TanzaniaMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya JamiiMaandishiNamba za simu TanzaniaDaktariBibliaKiongoziPasakaFani (fasihi)Vitamini CKiswahiliHisiaWabunge wa Tanzania 2020MisemoKamusi za KiswahiliP. FunkSerikaliIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Ubadilishaji msimboMkoa wa TangaOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaUlumbiWhatsApp🡆 More