Praha (pia: Praga, Prague tamka: Prag -Kicheki: Praha) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Ucheki wenye wakazi milioni 1.3(2022).
Kutokana na uzuri wa majengo yake ya kihistoria imeitwa "mji wa dhahabu" au "mji wa minara 100".
Mji uko kando ya mto Vltava katika Ucheki ya magharibi. Kitovu cha mji kipo katika pindo la mto kati ya vilima viwili. Mji umeenea zaidi hadi nyanda za juu za jirani. Ndani ya eneo la mji kuna visiwa kadhaa mtoni.
Milima ya juu karibu na mji inafikia kimo cha mita 381 na 385.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Praha kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Praha, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.