Niamey

Niamey ni mji mkuu wa Niger.

Iko mwambaoni wa mto Niger. Ikiwa na wakazi 1,803,000 hivi (2018) Niamey ni mji mkubwa wa Niger na kitovu cha kiutawala, kiuchumi na kiutamaduni.

Niamey
Niamey
jiji, big city, administrative territorial entity of Niger, first-level administrative division
Jina rasmiNiamey Hariri
Native labelƝamay, Yamai, ⵏⵉⴰⵎⵢ Hariri
DemonymNiaméen, Niaméenne, Niaméyen, Niaméyenne Hariri
NchiNiger Hariri
Capital ofNiger Hariri
Located in the administrative territorial entityNiger Hariri
Located in time zoneUTC+01:00 Hariri
Located in or next to body of waterNiger Hariri
Coordinate location Hariri
Mkuu wa serikaliBarry Bibata Niandou Hariri
Contains the administrative territorial entityNiamey I, Niamey II, Niamey III, Niamey IV, Niamey V Hariri
Twinned administrative bodyDakar, Tamale Hariri
Inashiriki mpaka naTillabéri Region Hariri
Category for mapsCategory:Maps of Niamey Hariri
Niamey
Niamey wakati wa usiku
Niamey
Niamey jinsi inavyoonekana kutoka angani

Kilimo katika mazingira ya mji kina karanga kama mazao ya sokoni; kuna viwanda vya matofali, saruji na nguo.

Niamey ilikuwa kijiji kikaanza kukua tangu Ufaransa ulijenga hapa kituo cha kijeshi tangu miaka ya 1890 BK. Mwaka 1926 ikawa mji mkuu wa koloni ya Niger. Mwaka 1930 ilikuwa na wakazi 3,000, wakati wa uhuru mwaka 1960 na wakazi 30,000 na mnamo 1980 na wakazi 250,000.

Viungo vya Nje

Tags:

Mji mkuuNiger

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

NevaSisimiziPicha takatifuMachweoTetekuwangaMsalaba wa YesuPasaka ya KiyahudiWanyama wa nyumbaniUgonjwaMziziHafidh AmeirVivumishi vya kumilikiKiraiOrodha ya Marais wa MarekaniMwanaumeOrodha ya programu za simu za WikipediaUbaleheMkoa wa RukwaNyangumiHistoria ya uandishi wa QuraniAlama ya uakifishajiMaghaniMbossoMkondo wa umemeChawaUandishi wa barua ya simuAina za udongoMizimuUNICEFWairaqwNominoMshororoSentensiMkoa wa TaboraSaratani ya mlango wa kizaziMkoa wa ArushaJumuiya ya Afrika MasharikiWiki CommonsSalaSarufiTungo kishaziElimuJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoNimoniaDhamiriRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniKarne ya 18Vielezi vya mahaliMkoa wa MbeyaMashariki ya KatiLilithFid QOrodha ya MiakaMariooSean CombsTamthiliaKamusiUzazi wa mpangoOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)Chris Brown (mwimbaji)UchawiUandishi wa ripotiTamathali za semiChatuNyegereMkoa wa KageraMohamed HusseinMkoa wa ManyaraKaswendeNdoa katika UislamuMishipa ya damuUhifadhi wa fasihi simuliziChuraWikipedia🡆 More