Mkakao

Mkakao (jina la kisayansi: Theobroma cacao) ni mti ambao maua na kwa hivyo matunda yake yamea juu ya shina au matawi.

Mkakao
(Theobroma cacao)
Mkakao
Mkakao
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Malvales (Mimea kama mpamba)
Familia: Malvaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mpamba)
Jenasi: Theobroma
Spishi: T. cacao
L.

Kokwa hutumika kwa kutengeneza kakao, ambayo ni chanzo cha chokoleti.

Mkakao hulimwa sana nchini Ghana, lakini pia Tanzania maeneo kama vile Kyela.

Picha

Mkakao  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkakao kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

ChokoletiJina la kisayansiKakaoKokwaMtiShinaTundaUa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

BiasharaMjombaKarafuuMfumo katika sokaLeonard MbotelaUhuru wa TanganyikaZiwa NatronHifadhi ya NgorongoroNchiWilaya ya IlalaPiramidi za GizaMadiniMwakaOrodha ya Marais wa Uganda26 ApriliWitoMkunduKamusi elezoJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaJohn Raphael BoccoFran BentleyUongoziNyegereMaumivu ya kiunoYoung Africans S.C.MusaNahauWimbisautiPijiniVipera vya semiWilaya ya KinondoniWanilambaLiverpool F.C.Ufugaji wa kukuRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniKakaHadhiraBarua pepeWanu Hafidh AmeirMillard AyoMafua ya kawaidaMvuaKiambishi tamatiMauaji ya kimbari ya RwandaMahakamaAbrahamuAlasiriSitiariMtume PetroMkoa wa Dar es SalaamMfumo wa homoniC++KaraniNyanda za Juu za Kusini TanzaniaMfumo wa mzunguko wa damuLigi ya Mabingwa UlayaKiraiMafumbo (semi)KapteniLafudhiOsama bin LadenBendera ya ZanzibarUtamaduniMnyamaElimu ya watu wazimaKishazi huruVivumishi vya pekeeHadithi za Mtume MuhammadMashuke (kundinyota)🡆 More