Maada

Maada (kutoka Kiarabu; pia: mata kutoka Kiingereza matter) ni neno pana linalojumlisha vyote vinavyoweza kuonekana, kusikika, kuguswa, kuchunguzwa n.k., ikiwemo hasa maada ya kawaida inayoundwa na atomi ambazo tena zinaundwa na kiini cha protoni na neutroni, kikizungukwa na wingu la elektroni.

Hivyo maada ni kitu chochote chenye uzito na kinachoweza kuchukua nafasi.

Maada
Maada
Maada
Maada
Maada
Maada kwa kawaida inaweza kupatikana katika hali nne. Picha zinazionyesha kutoka juu kwenda chini: kwazi (mango), maji (kiowevu), daioksidi ya nitrojeni (gesi), na tufe la plazma (plazma).

Tangu karne ya 20 ufafanuzi sahihi wa maada umeshindikana kutokana na maendeleo ya sayansi, nayo si tena jambo la msingi katika fizikia kama ilivyokuwa awali.

Maada inapatikana kwa kawaida katika hali nne: mango, kiowevu, gesi na utegili. Maada huweza kubadilika pale tu halijoto inapobadilika. Badiliko la maada linaweza kuwa kutoka gesi kwenda yabisi mfano mvuke kuwa barafu, yabisi kwenda gesi mfano barafu kuwa mvuke, kimiminika kuwa yabisi mfano maji kuwa barafu n.k.

Hivyo matawi mbalimbali ya sayansi yanatumia neno maada kwa maana tofautitofauti.

Falsafa pia inatumia neno hilo, hasa kwa kutofautisha maada na roho, na hivyo ulimwengu unaoonekana na ule ambao hauonekani, lakini unasadikika kuwepo.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Maada 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Maada  Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maada kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AtomiElektroniKiarabuKiingerezaKiiniKituNenoNeutroniProtoniUzitoWingu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Alhamisi kuuOrodha ya Magavana wa TanganyikaSaratani ya mapafuNileKataRihannaWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiWaluguruOrodha ya vyama vya kisiasa nchini KenyaAmri KumiZuchuYuda IskariotiWema SepetuKuhaniKuhani mkuuKifo cha YesuMafua ya kawaidaPasifikiMkoa wa KilimanjaroMkoa wa PwaniTelevisheniTarehe za maisha ya YesuAC MilanLughaWangoniNdoaMtaalaDr. Ellie V.DMaadiliUzazi wa mpango kwa njia asiliaMbiu ya PasakaNevaBaraza la mawaziri TanzaniaTarafaKenyaSean CombsKidole cha kati cha kandoWiktionaryAfrika ya Mashariki ya KijerumaniNamba tasaShinikizo la juu la damuViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)Mwanza (mji)Uandishi wa ripotiSteve MweusiKorea KaskaziniOrodha ya maziwa ya TanzaniaMende27 MachiKiswahiliOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaKiingerezaUandishiMsalabaAzimio la kaziNabii EliyaShinaWhatsAppKipaimaraJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaMkoa wa TaboraWasukumaShirikisho la Afrika MasharikiNgome ya YesuBrazilVipera vya semiBendera ya KenyaMitume na Manabii katika UislamuNamba ya mnyamaSanaaKisasiliHassan bin OmariMwakaKiumbehai🡆 More