Luzon

Luzon ni kisiwa kikubwa zaidi katika Ufilipino.

Iko kaskazini mwa nchi. Mji mkuu wa Manila uko Luzon, pamoja jiji la Quezon ambalo ni jiji kubwa nchini .

Luzon
Picha ya ramani ikionyesha Sehemu ya Luzon kati ya visiwa vya Ufilipino

Eneo la Luzon ni kilomita za mraba 108,172 na idadi ya wakazi ni zaidi ya milioni 48.

Marejeo

Luzon  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Luzon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

JijiKaskaziniKisiwaManilaMji mkuuUfilipino

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Dubai (mji)Diamond PlatnumzZambiaNenoMwakaLahajaWanu Hafidh AmeirVipera vya semiDivaiMichezo ya jukwaaniInsha ya wasifuZiwa NatronMaziwa ya mamaMwanza (mji)UkweliJamhuri ya Watu wa ZanzibarNdoaUgirikiUpendoKitenziMselaKukuKilimanjaro (volkeno)Majeshi ya Ulinzi ya KenyaSerikaliAkiliMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaUbuntuKidoleMmeaZana za kilimoFisiBahari ya HindiBarua pepeKadi za mialikoElla PowellMaigizoUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaMohammed Gulam DewjiUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiWataru EndoJoziBungeNgono zembeUkooTungo sentensiVitenzi vishirikishi vikamilifuTabianchi ya TanzaniaViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)Orodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaMsalabaMaghaniHistoria ya Afrika KusiniKifua kikuuMunguUwanja wa UhuruWingu (mtandao)Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMohamed HusseinKiraiKaraniTungo kiraiNomino za pekeeHedhiDNAMaradhi ya zinaaBendera ya ZanzibarUkwapi na utaoKhadija KopaVita Kuu ya Kwanza ya DuniaHistoria ya MsumbijiTanzania Breweries LimitedKrioliTafsiriZiwa ViktoriaUchawiSilabi🡆 More