Hondohondo: Ndege wakubwa wa familia Bucerotidae

Jenasi 15:

Hondohondo
Hondohondo rangi-mbili
Hondohondo rangi-mbili
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Bucerotiformes (Ndege kama hondohondo)
Familia: Bucerotidae (Ndege walio na mnasaba na hondohondo)
Rafinesque, 1815
Ngazi za chini

  • Aceros Hodgson, 1844
  • Anorrhinus Reichenbach, 1849
  • Anthracoceros Reichenbach, 1849
  • Berenicornis Bonaparte, 1850
  • Buceros Linnaeus, 1758
  • Bycanistes Cabanis & Heine, 1860
  • Ceratogymna Bonaparte, 1854
  • Horizocerus Oberholser, 1899
  • Lophoceros Hemprich & Ehrenberg, 1833
  • Ocyceros Hume, 1873
  • Penelopides Reichenbach, 1849
  • Rhabdotorrhinus Meyer & Wiglesworth, 1895
  • Rhinoplax Gloger, 1841
  • Rhyticeros Reichenbach, 1849
  • Tockus Lesson, 1830

Hondohondo (pia hondo) ni ndege wakubwa wa familia Bucerotidae. Spishi ndogo zinaitwa fimbi kwa kawaida. Wana domo kubwa na lile la spishi nyingi lina aina ya pembe juu lake. Domo linaweza kuwa jeusi, jeupe, jekundu au njano. Ndege hawa hula matunda, wadudu na wanyama wadogo. Spishi za msitu hula matunda hasa na zile za nyika hula wadudu na wanyama zaidi.

Jike wa hondohondo huyataga mayai 2-6 katika tundu ndani ya mti au pengine katika tundu la kigong'ota au zuwakulu. Dume afunga mwingilio wa tundu kwa matope, mavi na nyama ya matunda. Awaletea jike na makinda chakula.

Spishi za Afrika

Spishi za mabara mengine

Picha

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Historia ya KanisaRitifaaMbossoSerikaliFasihiShikamooUbongoMkopo (fedha)Millard AyoNyati wa AfrikaOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaOrodha ya miji ya TanzaniaTaswira katika fasihiNdoaOrodha ya makabila ya TanzaniaMisimu (lugha)El NinyoKonsonantiUmaskiniSemiMkoa wa Unguja Mjini MagharibiMkuu wa wilayaMkoa wa MaraMatumizi ya lugha ya KiswahiliOrodha ya Marais wa UgandaDoto Mashaka BitekoChristopher MtikilaUzazi wa mpango kwa njia asiliaNguruweSaidi NtibazonkizaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUkoloniKanisa KatolikiVitamini CUandishi wa ripotiDar es SalaamTungo sentensiMoscowMaradhi ya zinaaHadithi za Mtume MuhammadZabibuUgonjwa wa kuharaAsili ya KiswahiliMishipa ya damuMkutano wa Berlin wa 1885NdovuNetiboliWanyamaporiKumaMarie AntoinetteRuge MutahabaWahadzabeLugha ya taifaJokate MwegeloMfumo wa mzunguko wa damuSkeliTambikoUpinde wa mvuaIsraeli ya KaleMatiniUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaManchester CityAdolf HitlerTungoTabianchiOrodha ya viongoziChumba cha Mtoano (2010)MlongeWarakaKidole cha kati cha kandoMunguFamiliaNimoniaMasafa ya mawimbi🡆 More