Kitamili ni lugha ya Uhindi inayojadiliwa hasa kwenye jimbo la Tamil Nadu pamoja na kaskazini ya Sri Lanka.
Ni kati ya lugha kubwa za dunia yenye wasemaji zaidi ya milioni 70.
Kitamili huhesabiwa kati ya lugha za Kidravidi ambazo ni lugha asilia za Uhindi.
Kitamili imeandikwa tangu zaidi ya miaka 2000. Mfano ya kale ni ni mwandiko kwenye miamba ya mwaka 254 KK. Ni lugha ya pekee yenye umri mkubwa kama huu inayoendelea kutumiwa mfululizo hadi leo.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitamil kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kitamil, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.