Hifadhi Ya Katavi

Hifadhi ya Katavi ni moja ya hifadhi za taifa iliyoundwa mwaka 1974.

Hifadhi Ya Katavi
Hifadhi ya Taifa ya Katavi, nyakati za jioni
Hifadhi Ya Katavi
Viboko: mama na mtoto.
Hifadhi Ya Katavi
Picha ya mamba

Iko juu ya uwanda mpana wa mafuriko magharibi mwa Tanzania katika mkoa wa Katavi na mkoa wa Rukwa. Hifadhi hiyo inazo takribani kilomita za mraba 4,471 (maili za mraba 1,726) katika eneo hilo, ambayo inakuwa ni hifadhi ya tatu kwa ukubwa nchini Tanzania.

Ni hifadhi ya mbali sana ambayo hutembelewa mara kwa mara kuliko viwanja vingine vya Tanzania. Hifadhi hiyo inahusisha mto Katuma na msimu wa Ziwa Katavi na Ziwa Chada.

Mandhari kuu katika hifadhi

  • Maeneo ya majimaji yenye majani
  • Mimea jamii ya mitende na
  • Mto Katuma

Hifadhi hii inasifika kwa:

Pia wanyama kama simba na chui hawana shida ya mawindo kwani katika himaya yao kuna makundi ya swala, nyamela topi wa miguu mieupe, pundamilia na nyati.

Kuna aina zipatazo 400 za ndege waliozagaa katika miti ya acacia, kingo za mto, mabwawa na makundi kadhaa ya mwari (pelicans) yanayoambaa ziwani. Ni kawaida kuyaona makundi makubwa ya tembo yakila majani katika mabwawa, huku miili yao ikiwa imefunikwa na maji na magugu.

Namna ya kufika katika hifadhi

Tazama pia

Marejeo

Majarida ya hifadhi za Taifa Tanzania

Viungo vya nje

Hifadhi Ya Katavi  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Katavi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.

Tags:

Hifadhi Ya Katavi Mandhari kuu katika hifadhiHifadhi Ya Katavi Namna ya kufika katika hifadhiHifadhi Ya Katavi Tazama piaHifadhi Ya Katavi MarejeoHifadhi Ya Katavi Viungo vya njeHifadhi Ya Katavi1974

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Maambukizi nyemeleziInstagramAla ya muzikiOrodha ya makabila ya KenyaVielezi vya mahaliTambikoDar es SalaamAli KibaWabunge wa Tanzania 2020Orodha ya kampuni za TanzaniaAbrahamuSteve MweusiMkoa wa TangaWahadzabeRejistaManchester CityNomino za dhahaniaMkopo (fedha)HarmonizeMapenziMnyoo-matumbo MkubwaEdward SokoineKamusi za KiswahiliVisakaleVita ya Maji MajiMkoa wa KigomaVirusi vya UKIMWIWikipediaKiwakilishi nafsiMtume PetroKamusiHistoria ya uandishi wa QuraniMkoa wa ManyaraInsha ya wasifuLigi Kuu Uingereza (EPL)SamakiMapinduzi ya ZanzibarDivaiDhamiraMartin LutherUmoja wa AfrikaUhifadhi wa fasihi simuliziWanyamaporiMlongeMimba kuharibikaUkutaMartha MwaipajaKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniMofimuTarbiaDamuSinagogiVitendawiliMbeya (mji)UingerezaGeorDavieMkoa wa ShinyangaBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiFamiliaSimba (kundinyota)MariooUsawa (hisabati)Mkoa wa MbeyaBendera ya KenyaTume ya Taifa ya UchaguziUkristoWilaya za TanzaniaNdoa katika UislamuMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya JamiiAustraliaWanyaturu🡆 More