Hesse

Hesse (Kijerumani:Hessen) ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 6,1 kwenye eneo la 21 114 km².

Mji mkuu ni Wiesbaden. Waziri mkuu ni Volker Bouffier (CDU).

Hesse
Mahali pa Hesse katika Ujerumani
Hesse
bendera ya Hesse

Jiografia

Hesse imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Rhine Kaskazini - Westfalia, Saksonia ya chini, Thuringia, Rhine-Palatino, Baden-Württemberg na Bavaria.

Miji mikubwa ni pamoja na Frankfurt am Main, Wiesbaden, Kassel, Darmstadt, Offenbach, Marburg, Fulda, Gießen, Wetzlar, Hanau na Bad Homburg. (Angalia Orodha ya miji ya Hesse.)

Rhine, Lahn na Main ni mito muhimu zaidi.

Picha za Hesse

Tovuti za Nje

Hesse 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Hesse  Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hesse kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.



 
Majimbo ya Ujerumani
Hesse 
Baden-WürttembergBavaria (Bayern)BerlinBrandenburgBremenHamburgHesse (Hessen)Mecklenburg-Pomerini Magharibi (Mecklenburg-Vorpommern)Saksonia Chini (Niedersachsen)Rhine Kaskazini-Westfalia (Nordrhein-Westfalen)Rhine-Palatino (Rheinland-Pfalz)Saar (Saarland)Saksonia (Sachsen)Saksonia-Anhalt (Sachsen-Anhalt)Schleswig-HolsteinThuringia (Thüringen)

Tags:

CDUKijerumaniUjerumaniWiesbaden

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ng'ombeTanganyika (ziwa)CAFMisemoVihisishiMekatilili Wa MenzaMatamshiKiboko (mnyama)TesistosteroniMzeituniMji mkuuMkoa wa Unguja Mjini MagharibiDr. Ellie V.DMbaraka MwinsheheIsimuAganoKrismasiMzabibuMkoa wa MwanzaUtafitiMajina ya Yesu katika Agano JipyaZuchuOrodha ya nchi za AfrikaJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaTarehe za maisha ya YesuViwakilishiVichekeshoSabatoBaraKiraiMisimu (lugha)Wayao (Tanzania)Mkoa wa KataviUmoja wa AfrikaOsimosisiTausiPesaUingerezaKaramu ya mwishoMajira ya baridiMalawiBenjamin MkapaIsaBaraza la mawaziri TanzaniaMlongeSimbaKiwakilishi nafsiOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaWilliam RutoYuda IskariotiMaana ya maishaOrodha ya Magavana wa TanganyikaFasihi simuliziNdoaAnna MakindaWahayaAunt EzekielCristiano RonaldoTupac ShakurMajira ya mvuaNeemaUandishi wa barua ya simuNdoa katika UislamuKisimaHistoria ya KiswahiliAfrikaTeknolojia ya habariIsimujamii🡆 More