Bremen

Bremen ni mji wenye bandari muhimu katika Ujerumani ya Kaskazini.

Iko kando ya mto Weser takriban km 50 kabla haujaingia katika Bahari ya Kaskazini. Mto Weser unapanuka baada ya kupita mji kuwa na mdomo mpana sana kabla ya kuishia baharini hivyo meli zinaweza kufika hadi mjini.

Bremen
Die Bremer Stadtmusikanten bei Nacht.


Bremen
Bremen is located in Ujerumani
Bremen
Bremen

Mahali pa katika Ujerumani

Majiranukta: 53°04′33″N 08°48′27″E / 53.07583°N 8.80750°E / 53.07583; 8.80750
Nchi Ujerumani
Jimbo Bremen
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 547,685
Tovuti:  http://www.bremen.de/
Bremen
Nembo ya Bremen

Mji una wakazi 546,000. Pamoja na eneo la jirani kuna watu milioni 2.37 katika mazingira ya Bremen.

Bremen ni dola-mji ikiwa moja ya majimbo 17 ya kujitawala ya Ujerumani. Jina rasmi ni „Mji huru wa Hanse wa Bremen“ (Freie Hansestadt Bremen). Hanse ilikuwa shirikisho la kimataifa la miji ya biashara iliyojitawala katika karne za kati. Kwa muda mrefu wa historia yake Bremen ilikuwa kama nchi ndogo ya kujitegemea hadi kujiunga na Dola la Ujerumani 1871. Jimbo la Bremen lina miji miwili ya Bremen yenyewe na Bremerhaven.

Wafanyabiashara wa Bremen waliwahi kuwa na biashara na nchi za nje kwa jahazi na meli zao tangu karne nyingi. Hata mawasiliano kati ya Afrika na Ujerumani yalipitia hasa Bremen na mji jirani wa Hamburg.

Picha za Bremen

Tazama pia

Viungo vya nje

Bremen 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
Bremen  Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bremen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Bahari ya KaskaziniBandariKaskaziniKmMdomoMeliMjiMtoUjerumani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MaskiniUhalifu wa kimtandaoKylian MbappéNafsiUrusiHerufiHakiJamhuri ya Watu wa ZanzibarMaliasiliOrodha ya kampuni za TanzaniaMaambukizi ya njia za mkojoMvuaVivumishi vya sifaPamboWaziriTamathali za semiWilaya ya IlalaMkoa wa TaboraInshaUsafi wa mazingiraKenyaHektariUfaransaMoyoOrodha ya Marais wa TanzaniaMwenge wa UhuruSakramentiUkimwiMikoa ya TanzaniaDubai (mji)Homa ya matumboUgonjwa wa kuharaLahajaTundaNguvaSanaaKata za Mkoa wa Dar es SalaamGabriel RuhumbikaKanga (ndege)NgonjeraMapinduzi ya ZanzibarUkristoMkoa wa SongweChristina ShushoBaraMwislamuSteven KanumbaTanganyika African National UnionAlama ya uakifishajiNandyMaishaHafidh AmeirMaziwa ya mamaMkoa wa KilimanjaroMavaziMungu ibariki AfrikaUchawiKinjikitile NgwaleMkoa wa SingidaRejistaMkoa wa RuvumaDaktariKisimaMkoa wa MbeyaVielezi vya mahaliMamaLeonard MbotelaRashidi KawawaPijini na krioliWamasaiMmomonyokoOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaFasihiHifadhi ya Ngorongoro🡆 More