Rhine-Palatino

Rhine-Palatino (Kijerumani: Rheinland-Pfalz) ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 4,0 kwenye eneo la 19,847 km².

Mji mkuu ni Mainz. Waziri mkuu ni Maria Luise „Malu“ Dreyer (SPD).

Rhine-Palatino
Mahali pa Rhine-Palatino katika Ujerumani
Rhine-Palatino
bendera ya Rhine-Palatino

Jiografia

Rhine-Palatino imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Rhine Kaskazini-Westfalia, Hesse, Baden-Württemberg na Saarland.

Miji mikubwa ni pamoja na Mainz, Ludwigshafen, Koblenz na Trier.

Rhine na Mosel ni mito muhimu zaidi.

Picha za Rhine-Palatino

Tovuti za Nje

Rhine-Palatino 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Rhine-Palatino  Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rhine-Palatino kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.



 
Majimbo ya Ujerumani
Rhine-Palatino 
Baden-WürttembergBavaria (Bayern)BerlinBrandenburgBremenHamburgHesse (Hessen)Mecklenburg-Pomerini Magharibi (Mecklenburg-Vorpommern)Saksonia Chini (Niedersachsen)Rhine Kaskazini-Westfalia (Nordrhein-Westfalen)Rhine-Palatino (Rheinland-Pfalz)Saar (Saarland)Saksonia (Sachsen)Saksonia-Anhalt (Sachsen-Anhalt)Schleswig-HolsteinThuringia (Thüringen)

Tags:

KijerumaniMainzSPDUjerumani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MamaOrodha ya Marais wa UgandaSimuKitenziBarua pepeWayahudiKanda Bongo ManMbagalaSiriUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiUtoaji mimbaHussein Ali MwinyiUfugaji wa kukuJohn MagufuliFalsafaJuxSentensiUzazi wa mpangoYouTubeTabianchiKamusiMkoa wa ShinyangaMbuga za Taifa la TanzaniaVidonda vya tumboNamba tasaTanganyika (maana)WasukumaUjimaKalenda ya KiislamuVita vya KageraKonsonantiKisukuruJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaSakramentiDar es SalaamOrodha ya Marais wa TanzaniaAzimio la ArushaVitamini CTamthiliaIsraelTume ya Taifa ya UchaguziRohoUfugajiKaswendeMarekaniUsanifu wa ndaniAfrikaOrodha ya vitabu vya BibliaNdoaMaghaniMazingiraSoko la watumwaRufiji (mto)Samia Suluhu HassanJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoChristopher MtikilaSerikaliHedhiWayback MachineAmfibiaSaida KaroliMuhammadMajina ya Yesu katika Agano JipyaMkoa wa KigomaUgonjwaFananiUKUTAStadi za lughaGoba (Ubungo)Agostino wa HippoBara🡆 More