Rhine Kaskazini-Westfalia

Rhine Kaskazini-Westfalia (kwa Kijerumani: Nordrhein-Westfalen, NRW) ni moja kati ya majimbo makubwa ya shirikisho la Ujerumani.

Lipo magharibi mwa Ujerumani na idadi ya wakazi ni takriban 18,033,000 waishio katika Jimbo hili: ndilo linaloongoza nchini kwa idadi ya watu.

Rhine Kaskazini-Westfalia
Rhine Kaskazini-Westfalia, Germany
Rhine Kaskazini-Westfalia
Ramani ya jimbo la Rhine Kaskazini-Westfalia.
Rhine Kaskazini-Westfalia
bendera ya Rhine Kaskazini-Westfalia

Mji wake mkuu ni Düsseldorf, lakini mji mkubwa ni Köln (Cologne).

Wilaya za Rhine Kaskazini-Westfalia

Rhine Kaskazini - Westfalia imegawanyika katika sehemu tano (mikoa ya kiserikali):

  • Arnsberg
  • Cologne
  • Detmold
  • Düsseldorf
  • Münster

Historia ya Rhine Kaskazini-Westfalia

Jimbo jinsi lilivyo lilianzishwa 1946/1947 na Waingereza walipotawala sehemu ya Ujerumani baada ya vita kuu ya pili ya dunia. Serikali ya kijeshi ya Kiingereza kwa Ujerumani iliunganisha 1946 mikoa miwili ya Prussia kuwa jimbo jipya baada ya kufutwa kwa Prussia yenyewe iliyowahi kuwa jimbo kubwa kabisa katika Ujerumani. Mikoa hiyo ya Kiprussia ya awali ilikuwa Westfalia na sehemu ya kaskazini ya mkoa wa Rhine. Washindi wa vita kuu waliwahi kugawa mkoa wa Rhine na kaskazini iliwekwa chini ya Uingereza lakini kusini chini ya utawala wa Ufaransa. Maungano ya Westfalia na Rhine-Kaskazini yalipanuliwa 1947 kwa kuingiza mle jimbo la awali la Lippe. Jimbo jipya kilichokuwa kiumbe cha Waingereza kilikuwa kati ya majimbo 10 yaliyoanzisha mwaka 1949 Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani.

  • 1807-1813 — Westphalia ni ufalme.
  • 1817 — Westphalia imekuwa mkoa wa Prussia.
  • 1824 — Jülich, Kleve, Berg and Niederrhein imeungana na Mkoa wa Rhine.
  • 1919Ubelgiji imeichukua Eupen na Malmedy.
  • 1946 — Mkoa wa Rhine, Westphalia na Lippe-Detmold imeungana na kuwa North Rhine-Westphalia.

Miji ya Rhine Kaskazini-Westfalia

Viungo vya nje

Rhine Kaskazini-Westfalia 
WikiMedia Commons


 
Majimbo ya Ujerumani
Rhine Kaskazini-Westfalia 
Baden-WürttembergBavaria (Bayern)BerlinBrandenburgBremenHamburgHesse (Hessen)Mecklenburg-Pomerini Magharibi (Mecklenburg-Vorpommern)Saksonia Chini (Niedersachsen)Rhine Kaskazini-Westfalia (Nordrhein-Westfalen)Rhine-Palatino (Rheinland-Pfalz)Saar (Saarland)Saksonia (Sachsen)Saksonia-Anhalt (Sachsen-Anhalt)Schleswig-HolsteinThuringia (Thüringen)
Rhine Kaskazini-Westfalia  Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rhine Kaskazini-Westfalia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Rhine Kaskazini-Westfalia Wilaya za Rhine Kaskazini-Westfalia Historia ya Rhine Kaskazini-Westfalia Miji ya Rhine Kaskazini-Westfalia Viungo vya njeRhine Kaskazini-WestfaliaIdadiKijerumaniMagharibiMajimbo ya UjerumaniMojaShirikishoUjerumaniWatu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UnyevuangaRayvannyOrodha ya vitabu vya BibliaMuda sanifu wa duniaVisakaleTungo kiraiHaki za watotoNyegeUkristoMatiniHistoria ya KiswahiliVokaliOrodha ya Marais wa KenyaMbossoHistoria ya UislamuDhima ya fasihi katika maishaNgonjeraHussein Ali MwinyiVirusi vya UKIMWIAmina ChifupaRuge MutahabaNguruwe-kayaIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Mapambano ya uhuru TanganyikaMchwaKaswendeBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiAbedi Amani KarumeBawasiriMadhara ya kuvuta sigaraNimoniaUandishi wa ripotiDawatiMwenge wa UhuruStadi za lughaMohammed Gulam DewjiVielezi vya mahaliWagogoMalariaInsha za hojaMiundombinuAunt EzekielKata za Mkoa wa Dar es SalaamPichaOrodha ya milima ya AfrikaOrodha ya Marais wa UgandaNamba tasaWasukumaUkristo barani AfrikaBaraza la mawaziri TanzaniaUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020UNICEFKilimanjaro (volkeno)IsimuMachweoViwakilishiMshubiriInjili ya MarkoTanganyika (maana)Kiwakilishi nafsiKamusiAzimio la ArushaSaidi NtibazonkizaRejistaMuungano wa Tanganyika na ZanzibarUturukiMkoa wa MorogoroBabeliIdi AminJay MelodyWaluguruLiverpoolMishipa ya damuEe Mungu Nguvu Yetu🡆 More