Henri Ii

Mtakatifu Henri II (6 Mei 972 – 13 Julai 1024), alikuwa kaisari wa Dola Takatifu la Kiroma tangu tarehe 7 Juni 1002 hadi tarehe 13 Julai 1024.

Henri Ii
Kaisari Henri II.

Ni kaisari pekee wa Ujerumani aliyetangazwa kuwa mtakatifu. Ilitokea mnamo Julai 1147 kwa tamko la Papa Klementi II.

Sikukuu yake ni tarehe 13 Julai.

Ndoa yake na maisha ya kiroho

Mke wake, Kunegunda wa Luxemburg, akaja pia kutangazwa mtakatifu na Papa Inosenti III mwaka 1200. Ilisadikiwa kwamba hawakuzaa watoto kutokana na uamuzi wao wa kuishi katika ndoa kama kaka na dada kwa sababu za kidini.

Hakika Henri alijiunga kiroho na Wabenedikto kama mtawa wa nje.

Pamoja na mkewe alishughulikia sana ustawi wa Kanisa Katoliki katika dola lake kwa kutetea haki za maaskofu na kuhimiza uaminifu wa mapadri kwa useja mtakatifu uliowapasa. Vilevile alijitahidi kueneza imani ya Kikristo kote Ulaya. Kwa ari hiyo ya kimisionari alianzisha majimbo mengi na monasteri.

Henri Ii 
Henri II akitiwa taji la Kaisari.
Henri Ii 
Kaburi la Henri na Kunegunda lililotengenezwa na Tilman Riemenschneider.
Henri Ii 
Ukurasa wa Thietmar's Chronicle.

Angalia pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Henri Ii  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Henri Ii  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Ujerumani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Henri II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Henri Ii Ndoa yake na maisha ya kirohoHenri Ii Angalia piaHenri Ii TanbihiHenri Ii Viungo vya njeHenri Ii13 Julai6 Mei7 Juni97210021024Dola Takatifu la KiromaKaisariTarehe

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ligi Kuu Tanzania BaraHakiKamusi za KiswahiliSaratani ya mlango wa kizaziMaradhi ya zinaaWamasaiMbeguBibliaFasihi simuliziLisheMishipa ya damuNgw'anamalundi (Mwanamalundi)MaudhuiSanaaUzalendoTakwimuAfrika KusiniKidoleMuda sanifu wa duniaRohoUlemavuOrodha ya Watakatifu WakristoMitume wa YesuJumuiya ya MadolaViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)KiswahiliChuiKipindupinduAurora, ColoradoPikipikiWembeZana za kilimoAmaniOrodha ya Magavana wa TanganyikaMariooSumbawanga (mji)MjiAngahewaWaheheIniSaa za Afrika MasharikiOrodha ya Marais wa ZanzibarMkondo wa umemeTimu ya Taifa ya Kandanda ya KenyaPilipiliMkoa wa TaboraMkoa wa KigomaKamusi ya Kiswahili - KiingerezaNandyUingerezaBara ArabuMotoNetiboliDubai (mji)Kishazi tegemeziLugha ya kwanzaGeorDavieUbunifuSakramentiZama za MaweMaambukizi ya njia za mkojoOrodha ya nchi kufuatana na wakaziTovutiUsawa (hisabati)Injili ya YohaneVita Kuu ya Kwanza ya DuniaGhubaMahakamaNyokaAsidiTreniMbwaKarne ya 20UchumiLafudhi🡆 More