Genova ni mji wa Italia katika mkoa wa Liguria.
Ndiyo makao makuu ya mkoa. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2009, kuna wakazi wapatao 610,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo mita 20 juu ya usawa wa bahari.
Genova | |
Majiranukta: 44°24′20″N 8°55′58″E / 44.40556°N 8.93278°E | |
Nchi | Italia |
---|---|
Mkoa | Liguria |
Wilaya | Genova |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 610,741 |
Tovuti: www.comune.genova.it |
Sehemu ya mji imo katika orodha ya urithi wa dunia wa UNESCO.
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Genova kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Genova, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.