Makala hii inamhusu mungu katika dini ya Roma ya Kale.
Kwa sayari kibete tazama 1 Ceres
Ceres aliabudiwa katika ustaarabu wa Roma ya Kale kama mungu wa kike aliyehusika habari za kilimo, rutba na unyumba. Alitazamiwa kama binti wa miungu Saturnus na Ops.
Alilingana na mungu wa Kigiriki Demeter. Katika mitholojia ya Kiroma alizaa watoto wawili na Iupiter.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Ceres, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.