Louvre

Louvre ni jumba la maonyesho la mjini Paris, Ufaransa, ambalo linavutia mamilioni ya wageni wanaozuru hapo kwa sababu ya mkusanyiko wa sanaa zilizojaa katika jumba hilo.

Kiasili ilikuwa jumba la wafalme wa Ufaransa katika mji wa Paris. Tangu uhamisho wa mfalme Louis XIV aliyejenga jumba mpya huko Versailles ilikaa tu ikatumiwa kwa shughuli mablimbali kati yao kupokea kazi za sanaa. Tangu mapinduzi ya Ufaransa ilifunguliwa kwa watu wote. Maonyesho ya sanaa yaliendeleakupanushwa na kuboreshwa leo hii Louvre ni makumbusho na maonyesho ya sanaa duniani inayotembelewa na watu wengi kila mwaka.

Louvre
Makumbusho ya Louvre

Picha iliyomaarufu kabisa katika jengo la Louvre ni ile ya Mona Lisa iliyochorwa na Leonardo da Vinci, lakini pia kuna michoro ya wasanii wengine kama vile Renoir, Rembrandt, Rubens, na Titian. Piramidi mpya katika uwanja wa jumbaa ilijengwa na I. M. Pei.

Pia kuna sanamu za kuchonga katika jengo hilo la Louvre. Masanamu yaliyomaarufu katika jengo hilo ni pamoja na la Venus de Milo na Nike wa Samotraki.

Viungo vya nje

Louvre 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
Louvre  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Louvre kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Louis XIVMapinduzi ya UfaransaParisUfaransaVersailles

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

AsiliSaida KaroliFasihiMnyamaKitomeoOrodha ya nchi kufuatana na wakaziBungeUtamaduni wa KitanzaniaKonokonoJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaAli Hassan MwinyiKorea KusiniAslay Isihaka NassoroFacebookJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaMkwawaMohammed Gulam DewjiUchawiMkoa wa Dar es SalaamDubai (mji)UmaskiniMaudhui katika kazi ya kifasihiUbuntuNigeriaKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaOrodha ya Marais wa ZanzibarAgano la KaleTungoFonolojiaNathariMilaHistoria ya Wapare17 ApriliMkutano wa Berlin wa 1885Borussia DortmundHekalu la YerusalemuTausiUislamuMagonjwa ya machoAfrika ya Mashariki ya KijerumaniUkoloniBunge la Afrika MasharikiMaktabaOrodha ya miji ya TanzaniaMamaHifadhi ya SerengetiNyasa (ziwa)MtaalaZana za kilimoNyotaVitendawiliKiraiOrodha ya Watakatifu wa AfrikaAbrahamuMbossoUtoaji mimbaIbadaTungo kiraiMwanga wa JuaUhifadhi wa fasihi simuliziJangwaAlomofuTreniKarafuuJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoBwehaNgono zembeLingua frankaOrodha ya visiwa vya TanzaniaJuxKutoka (Biblia)UrusiVatikaniMichezo ya watoto🡆 More