Demetra (Kigiriki: Δήμητρα, Dḗmētra au Δημήτηρ, Dēmḗtēr; Kiatika: Δημήτηρ, Dēmētēr; Kidoriki: Δαμάτηρ, Dāmātēr) alikuwa mama wa Persefona na mungu wa kike wa kilimo, mimea na mavuno katika mitholojia ya Kigiriki.
Analingana na Ceres katika dini ya Roma ya Kale.
Demetra | |
---|---|
Mungu wa Kike wa Kilimo, Mimea na Mavuno | |
Makao | Mlima Olimpos |
Alama | Kurunzi, Simba, Kornukopia na Miganda ya Ngano |
Wazazi | Krono na Rea |
Ndugu | Zeu, Hade, Hera, Poseidoni, Hestia, Khironi |
Watoto | Persefona, Arioni |
Ulinganifu wa Kirumi | Ceres |
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Demetra, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.