Ngano

Kwa aina ya fasihi simulizi tazama makala ya Ngano (hadithi)

Ngano
(Triticum L.)
Ngano
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Planta (mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Monocots (Mimea ambayo mche wao una jani moja tu)
(bila tabaka): Commelinids (Mimea kama kongwe)
Oda: Poales (Mimea kama manyasi)
Familia: Poaceae (Mimea iliyo na mnasaba na nyasi)
Jenasi: Triticum
L.
Spishi: T. aestivum L.

T. dicoccum Schrank
T. durum Desf.
T. monococcum L.
T. spelta L.

Ngano ni mmea wa familia ya manyasi katika ngeli ya monokotiledoni. Mbegu au punje za ngano ni nafaka ambayo ni chakula muhimu katika sehemu nyingi za dunia hasa kwenye kanda zisizo na joto au baridi kali.

Ngano ni kati ya nafaka muhimu zaidi zinazoliwa na watu pamoja na mhindi na mpunga. Ngano hutumiwa hasa kwa kuisaga kuwa unga. Unga wa ngano hutumiwa kwa mkate, chapati na pasta.

Spishi zinazopandwa sana

  • T. aestivum, Ngano ya Mkate (Common or Bread Wheat) - Spishi ya heksaploidi inayopandwa sana kabisi duniani.
  • T. durum, Ngano Ngumu (Durum) - Spishi ya tetraploidi inayopandwa sana, nambari mbili duniani.
  • T. monococcum, Ngano Punje-moja (Einkorn) - Spishi ya diploidi yenye aina za porini na zinazopandwa; isiyopandwa sana sikuhizi.
  • T. dicoccum, Ngano Punje-mbili (Emmer) - Spishi ya tetraploidi iliyopandwa zamani lakini si sana sikuhizi.
  • T. spelta, Ngano Spelti (Spelt) - Spishi ya hexaploidi inayopandwa bado kwa kiasi.

Picha

Ngano  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ngano kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Ngano (hadithi)

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UgandaWahaAli KibaKumaShangaziVita vya KageraKitenzi kishirikishiMkopo (fedha)Julius NyerereMkoa wa LindiPapa (samaki)NafsiChuo Kikuu cha Dar es SalaamWema SepetuMadiniMwanzo (Biblia)Virusi vya UKIMWIZabibuLilithKisimaAgano la KaleMnururishoGoba (Ubungo)Uundaji wa manenoJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaMbogaWizara ya Mifugo na UvuviKutoka (Biblia)Orodha ya Marais wa UgandaTabataYanga PrincessKupatwa kwa JuaSayariHistoria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoUandishi wa ripotiVipera vya semiRoho MtakatifuHistoria ya AfrikaTovutiTanzaniaDar es SalaamKabilaHistoria ya Kanisa KatolikiMlima wa MezaTamthiliaMisemoMuhammadNduniMizimuMbooPasakaElimuBawasiriSimba (kundinyota)Ubadilishaji msimboVielezi vya idadiUchawiUnyenyekevuKishazi huruTaswira katika fasihiMtandao wa kijamiiKiambishi tamatiMtakatifu MarkoKitenzi kikuu kisaidiziKiambishiMaudhuiAnwaniVivumishi vya kumilikiNeno🡆 More