Ngano Nyekundu

Ngano nyekundu (lat.

Ngano nyekundu
(Secale cereale)
Ngano nyekundu
Ngano nyekundu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Planta (mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Monocots (Mimea ambayo mche wao una jani moja tu)
(bila tabaka): Commelinids (Mimea kama kongwe)
Oda: Poales (Mimea kama manyasi)
Familia: Poaceae (Mimea iliyo na mnasaba na nyasi)
Jenasi: Secale
Spishi: S. cereale
L.

Mbegu au punje za ngano nyekundu ni nafaka ambayo ni chakula muhimu katika sehemu za dunia hasa kwenye kanda zisizo na joto au baridi kali. Ni mmea ulio karibu na ngano.

Ngano Nyekundu
Secale cereale

Matumizi yake ni kwa ajili ya unga, mkate, bia, aina za wiski na pombe mbalimbali halafu lishe ya wanyama.

Ngano nyekundu hustawi kwenye ardhi ya mchanga ambako ngano haiendelei vizuri inavumilia pia tofauti kubwa zaidi za mvua na ukame kuliko ngano.

Kilimo chake na matumizi

Nchi walima wakuu wa ngano nyekundu — 2005
(millioni t³)
Urusi 3.6
Poland 3.4
Ujerumani 2.8
Belarusi 1.2
Ukraine 1.1
China 0.6
Kanada 0.4
Uturuki 0.3
Marekani 0.2
Austria 0.2
Dunia 13.3
Habari za FAO


Ngano nyekundu hulimwa hasa katika nchi za Ulaya ya Mashariki, ya kati na kaskazini kama vile Ujerumani, Poland, Ukraine, Belarusi, Lithuania, Latvia hadi Urusi. Hulimwa pia katika Amerika ya Kaskazini (Kanada na Marekani), katika Amerika Kusini (Argentina), Uturuki, Kazakhstan na China ya kaskazini.

Katika Afrika imelimwa kidogo kwenye nyanda za juu za Tanzania pia Kenya.

Viungo vya Nje

Ngano Nyekundu 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:

Tags:

ChakulaIng.Lat.MbeguMonokotiledoniNafakaNganoNyasiPunje

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UbuyuMkoa wa MorogoroLucky DubeTiba asilia ya homoniMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaUbakajiKinembe (anatomia)UlumbiKaswendeElimuSimbaOrodha ya nchi za AfrikaMahakama ya TanzaniaHifadhi ya SerengetiMkanda wa jeshiUaIdi AminUongoziArsenal FCHaitiUmaskiniMapafuChuo Kikuu cha Dar es SalaamMazungumzoUjamaaNamba ya mnyamaRose MhandoNelson MandelaOrodha ya vyama vya kisiasa nchini KenyaNgeli za nominoHaki za watotoEkaristiMbossoWameru (Tanzania)TungoInjili ya YohaneVipaji vya Roho MtakatifuUbuntuKishazi tegemeziBabeliMapigo yasiyo ya kawaida ya moyoOrodha ya Marais wa BurundiWhatsAppKuhaniOrodha ya MiakaNabii EliyaHoma ya matumboOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaMadhara ya kuvuta sigaraAzimio la ArushaAfrika ya Mashariki ya KijerumaniMkoa wa MtwaraBenderaPonografia28 MachiAustraliaWimboMillard AyoMisimu (lugha)Msitu wa AmazonMmeaViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)Salamu MariaKiswahiliFananiTarakilishiKamusi ya Kiswahili sanifuKifua kikuuMajira ya mvuaWashambaaKanisa KatolikiWema Sepetu🡆 More