Ulaya Ya Mashariki

Ulaya ya Mashariki ni sehemu ya mashariki ya bara la Ulaya lakini hakuna maelewano juu ya mipaka yake hasa upande wa magharibi.

Ulaya Ya Mashariki
Ulaya Mashariki kutoka angani.

Ulaya ya Mashariki kufuatana na Umoja wa Mataifa

Umoja wa Mataifa hujumuisha nchi zifuatazo humo:

Orodha hii imejumlisha nchi zote za Ulaya zilizokuwa sehemu za Umoja wa Kisovyeti au zilizoshikamana nao kisiasa hadi mwaka 1989 (isipokuwa Ujerumani ya Mashariki). Tatizo lake ni ya kwamba watu wa Poland, Hungaria, Ucheki na Slovakia zinajihesabu kuwa sehemu za Ulaya ya Kati.

Ulaya Ya Mashariki 
Ukuaji wa Ukristo Ulaya.

Ulaya ya Mashariki kijiografia

Kijiografia mara zinatajwa humo nyingi nchi za Ukraine, Belarus, Moldova na sehemu ya Ulaya wa Urusi. Isipokuwa sehemu za kaskazini za Urusi huhesabiwa mara nyingi upande wa Ulaya ya Kaskazini.

Ulaya ya Mashariki kiutamaduni

Mara nyingi nchi zinazokaliwa na watu wenye lugha za Kislavoni huhesabiwa humo. Lakini kwa njia hii Romania na Hungaria si nchi za Ulaya ya Mashariki lakini Ucheki, Slovenia na Kroatia zimo. Kihistoria hata sehemu za Ujerumani zilikaliwa na Waslavoni, na Wasorbi katika mashariki bado hutumia lugha yao.

Hivyo kuna nji ya pili inayosema: Nchi zote zenye lugha za Kislavoni zilizoguswa hasa na Kanisa la Kiorthodoksi kama vile Urusi, Ukraine, Belarus.

Tags:

BaraMagharibiMasharikiUlaya

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kitenzi kishirikishiTaswira katika fasihiMtandao wa kompyutaBustani ya EdeniLebanoniShirley CloeteRitifaaWema SepetuMkoa wa Unguja Mjini MagharibiSayariMishipa ya damuNamba ya mnyamaWhatsAppKiambishi tamatiKumamoto, KumamotoJinsiaBibi Titi MohammedMkanda wa jeshiMajeshi ya Ulinzi ya KenyaLugha za KibantuEnglish-Swahili Dictionary (TUKI)MuundoJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaKitenziVieleziTaarabShetaniBungeAskofuAfya na mwonekano wa Michael JacksonVivumishiMfumo wa JuaOrodha ya majimbo ya MarekaniHekimaMkoa wa ShinyangaMwanaumeHakiMkongeSimbaKanuni ya Imani ya MitumeAli KibaPalestinaMohamed HusseiniKifaruOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaSabatoWizara za Serikali ya TanzaniaMaghaniJipuUlayaHadithiMkoa wa DodomaUchawiAfrika ya MasharikiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMchungaji mwemaAnne Kilango MalecelaMamelodi Sundowns F.C.Mwanzo (Biblia)Maria MagdalenaMitishambaMikoa ya TanzaniaFalsafaTetekuwangaWanyama wa nyumbaniUti wa mgongoNabii EliyaIsraelIsimilaKisaweJoyce Lazaro NdalichakoNgeliMkwawaKikoromeo🡆 More