Mchanga

Mchanga ni punje ndogo za mwamba uliosagika.

Mchanga
Maji na mchanga mwambaoni

Kufuatana na mapatano ya kitaalamu mawe huitwa "mchanga" kama punje zake ziko kati ya milimita 0.063 hadi 2.

Punje hizo zinatokana na mmomonyoko wa mawe makubwa zaidi kama changarawe yaliyosukumwa na upepo au maji kwa mfano mtoni, baharini au kwenye mteremko wa mlima.

Jina mchanga halitaji mata yake lakini mara nyingi inamaanisha punje za silika (Si02) ambayo ni oksidi ya silikoni inayopatikana kwa wingi katika ganda la Dunia.

Mchanga hupatikana kwa wingi hasa kando ya bahari, jangwani au mtoni.

Mchanga ukichanganywa na saruji na maji huwa zege inayotumiwa kwa ujenzi.

Mchanga wa silika inaweza kuyeyushwa kuanzia jotoridi ya sentigredi 1713 na hivyo ni msingi wa kutengeneza kioo.

Picha

Viungo vya nje

Mchanga 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:


Mchanga  Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mchanga kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Mwamba

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya wanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoJotoVielezi vya namnaNgome ya YesuOrodha ya mito nchini TanzaniaPhilip Isdor MpangoKanisaMtaguso wa kwanza wa NiseaFonetikiMkoa wa MaraMofolojiaViunganishiOrodha ya makabila ya KenyaSikukuuMuda sanifu wa duniaAlmasiMfumo wa mzunguko wa damuViwakilishi vya kuulizaMaghaniPijini na krioliWajitaYesuElimuAthari za muda mrefu za pombeSerikaliMapinduzi ya ZanzibarKanga (ndege)Kiini cha atomuMange KimambiPaul MakondaTafsiriMisimu (lugha)Tendo la ndoaUti wa mgongoYouTubeMwanzoPalestinaMeta PlatformsUnyanyasaji wa kijinsiaJoyce Lazaro NdalichakoKibwagizoMnyoo-matumbo MkubwaHotubaUmoja wa AfrikaJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoUkooOrodha ya Watakatifu wa AfrikaFasihiVisakaleBorussia DortmundBendera ya ZanzibarMzunguOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaMarie AntoinetteUgonjwa wa ParkinsonLigi ya Mabingwa AfrikaKadi za mialikoCristiano RonaldoMazingiraUchumiOrodha ya Magavana wa TanganyikaUkabailaSarufiDubaiUainishaji wa kisayansiTafsidaOrodha ya Marais wa TanzaniaAsili ya KiswahiliBiashara ya watumwaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUtamaduniLatitudoNdoa katika UislamuLingua frankaUrusi🡆 More