Kilogramu

Kilogramu ni kipimo sanifu cha SI kwa ajili ya masi ya gimba.

Kifupi chake ni kg. Sehemu yake ndogo huitwa "gramu" kwa kifupi "g". Kuna gramu 1000 katika kilogramu moja. Hata kama kifizikia kuna tofauti kati ya masi na uzito kilogramu hutumiwa pia kama kipimo cha uzito.

Kilogramu
Nakala ya kilogramu asilia

Kilogramu moja ni sawa na masi ya kilogramu asilia ambayo ni kipande cha metali kilichopo mjini Paris kwenye Ofisi ya Kimataifa ya Vipimo. Nakala 40 za kilogramu asilia zilitengenezwa Paris na kutumwa penginepo duniani penye ofisi za kutunza vipimo kitaifa au kikanda.

Kilogramu ilikuwa kati ya vipimo vipya vilivyoanzishwa baada ya mapinduzi ya kifaransa pamoja na kipimo cha mita. Kiasili kilielezwa kuwa sawa na lita moja ya maji kwenye halijoto ya sentigredi 4 (kamili 3,98 °C). Lakini elezo hili halikuridhika wataalamu wa kimataifa wa vipimo wakaendelea kutengeneza mfano wake wa metali ya platini-iridi.

Nakala zake hutumiwa penginepo kuhakikisha mizani ya taifa fulani ni sahihi.

Siku hizi wataalamu wanatafuta bado njia bora kwa sababu wengi hawaridhiki kutegemea gimba moja ambalo linaweza kuharibiwa au kupotea.

  • kilogramu 1 = gramu 1000
  • kilogramu 1000 = tani moja

Marejeo

Kilogramu  Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilogramu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

MasiSIUzito

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Matumizi ya LughaVivumishi vya kumilikiUtumbo mwembambaSeli nyeupe za damuMtakatifu PauloSaidi Salim BakhresaRohoMrijaKiwakilishi nafsiWazaramoShinikizo la juu la damuWilaya za TanzaniaKitenziKupatwa kwa JuaWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiJumuiya ya MadolaMfumo wa mzunguko wa damuWayahudiUpendoGhanaBiblia ya KikristoMuunganoMkanda wa jeshiAli Hassan MwinyiUchumiBungeTwigaMnyoo-matumbo MkubwaBata MzingaHoma ya matumboLugha rasmiMkataba wa Helgoland-ZanzibarLafudhiTetemeko la ardhiTiktokUtamaduni wa KitanzaniaSemantikiKamusi ya Kiswahili - KiingerezaSitiariSeli za damuMagomeni (Dar es Salaam)IpagalaManchester United F.C.YouTubeMaktabaKiambishi awaliMkoa wa Unguja Mjini MagharibiBibi Titi MohammedVita ya uhuru wa MarekaniBarua pepeUgonjwa wa kuambukizaHisaHuduma ya kwanzaWamasaiUkristo barani AfrikaAfyaMaliasiliJohn MagufuliShangaziMuhammadMkoa wa KigomaTreniMajiUturukiMbuga za Taifa la TanzaniaMuungano wa Madola ya AfrikaUaPaul MakondaKarafuuHistoria ya AfrikaChuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)Madawa ya kulevyaUzazi wa mpango🡆 More