Kimalay

Kimalay ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia, Brunei, Singapuri na Indonesia inayozungumzwa na Wamalay.

Ni lugha ya mawasiliano kwa wengi, hata nchini Ufilipino, Timor Mashariki na Uthai, tofauti na Kimalay Sanifu ambayo ni lugha rasmi nchini Malaysia.

Kimalay
Eneo la Kimalay

Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimalay kama lugha mama ilihesabiwa kuwa watu milioni 77, lakini wasemaji wote wanaweza kufikia milioni 200-290.

Kufuatana na uainishaji wa lugha wa ndani zaidi, Kimalay iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje

Kimalay  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalay kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

BruneiIndonesiaKimalay SanifuLugha rasmiLugha za KiaustronesiaMalaysiaSingapuriTimor MasharikiUfilipinoUthai

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UfahamuTupac ShakurNdimuFutiOrodha ya viwanja vya ndege nchini TanzaniaVichekeshoMuhammadUsanisinuruMitume na Manabii katika UislamuKalenda ya KiislamuMkoa wa SongweDawatiUsultani wa ZanzibarMbagalaC++JikoKiunguliaUfupishoKiwandaArusha (mji)Viwakilishi vya sifaLigi Kuu Uingereza (EPL)Uandishi wa ripotiUchorajiWimboHadithi za Mtume MuhammadSintaksiViwakilishi vya kuoneshaBarua pepeVivumishi vya pekeeMuungano wa Tanganyika na ZanzibarUmemeHistoria ya AfrikaFonolojiaFani (fasihi)LatitudoMethaliVielezi vya namnaAthari za muda mrefu za pombeKombe la Dunia la FIFAJokate MwegeloRitifaaWaheheMbwana SamattaBarabaraMjasiriamaliUfilipinoUtenzi wa inkishafiFigoNembo ya TanzaniaKisaweBarua rasmiJipuMaji kujaa na kupwaVivumishi vya kuoneshaArsenal FCOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaZuchuTungo kishaziP. FunkAmina ChifupaMfumo wa mzunguko wa damuUhakikiKajala MasanjaTanzaniaShikamooMichael JacksonMange KimambiBarack ObamaViwakilishiSamia Suluhu HassanMkondo wa umemeMajina ya Yesu katika Agano JipyaLugha ya maandishiNzige🡆 More