Kikope

Kikope (Kwa Kiingereza conjunctivitis) ni ugonjwa wa jicho ambao humpata mtu iwapo konjaktiva ya jicho inakuwa nyekundu.

Jicho la mtu mwenye kikope
Jicho la mtu mwenye kikope

Sababu ya kikope inaweza kuwa maambukizi ya virusi au bakteria. Hivyo tunashauriwa kuosha macho kwa maji safi ya kutitirika.

Ishara na dalili

Jicho kuwa na rangi nyekundu, uvimbe kwenye konjaktiva, na macho kutoa machozi mengi ni dalili za kawaida kwa aina zote za kikope.

Ugonjwa wa kikope huweza kutambulika kirahisi kwa dalili kama kuwashwa kwa macho na konjaktiva kuwa na rangi nyekundu. Isipokuwa katika aina nyingine za kikope huhitaji vifaa maalum ili kuthibitisha utambuzi.

Kikope  Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikope kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

JichoKiingerezaNyekunduUgonjwa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mkanda wa jeshiJinsiaGoogleHotubaBloguHistoria ya UislamuRastafariInsha ya wasifuSelemani Said JafoMkoa wa ArushaKontuaNgw'anamalundiLakabuTaswira katika fasihiKipindupinduUlemavuNetiboliUzazi wa mpangoBidiiTamthiliaMr. BlueMbonoSensaMzabibuZana za kilimoMusaMsokoto wa watoto wachangaMkoa wa TangaKiraiMtaalaTabianchi ya TanzaniaUshairiAkiliInjiniMwongoBinamuArusha (mji)Kilwa KisiwaniZama za ChumaDiamond PlatnumzMapambano ya uhuru TanganyikaUtataSimbaKalenda ya KiislamuMeta PlatformsVivumishi vya kumilikiFamiliaUhuru wa TanganyikaMatiniChawaMauaji ya kimbari ya RwandaUhifadhi wa fasihi simuliziUgandaSheriaUmmy Ally MwalimuMagonjwa ya kukuClatous ChamaMaajabu ya duniaMazoezi ya mwiliNdoa katika UislamuMpwaMtakatifu MarkoWayahudiLigi Kuu Uingereza (EPL)FasihiRiwayaUnyanyasaji wa kijinsiaKitenziChakulaKanga (ndege)Reli ya TanganyikaMilaOrodha ya visiwa vya TanzaniaWarakaTamathali za semiJokate Mwegelo🡆 More