-Kwa maana ya mwongo kumtaja mtu asiyesema ukweli kwa kusudi tazama uongo-
Mwongo (pia: dekadi kutoka Kigiriki / Kiingereza "decade") ni kipindi cha miaka 10. Miongo 10 hufanya karne moja.
Kila miaka 10 ya mfululizo hufanya mwongo lakini mara nyingi neno hutumiwa kutaja ile miaka kumi inayoanza kwa 1960 - 1969 au 1990 hadi 1999.
Njia nyingine ni kusema "mwongo baada" au "mwongo kabla" ya tukio fulani kwa mfano "Mwongo baada ya vita kuu ya pili" kwa kutaja miaka ya 1945-1955 baada ya mwisho wa vita kuu ya pili ya dunia.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Mwongo, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.