Vedasto Wa Arras

Vedasto wa Arras (pia: Vedastus, Vaast, Waast, Gaston, Foster; 453 – Arras, Pas-de-Calais, 540) alikuwa askofu wa mji huo (leo nchini Ufaransa) kwa miaka zaidi ya 40.

Alikuwa ametumwa huko na Remi wa Reims wakati mji ulipokuwa umeangamizwa, akainjilisha mfalme Klovis akiingiza Wapagani wengi katika Kanisa Katoliki.

Vedasto Wa Arras
Mt. Vedasto akipewa daraja takatifu.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Februari.

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Vedasto Wa Arras 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Vedasto Wa Arras  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

Vedasto Wa Arras Tazama piaVedasto Wa Arras TanbihiVedasto Wa Arras MarejeoVedasto Wa Arras Viungo vya njeVedasto Wa Arras453540ArrasAskofuKanisa KatolikiMfalmeMjiPas-de-CalaisRemigius wa ReimsUfaransaUinjilishajiWapagani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mwanzo (Biblia)Kitenzi kikuu kisaidiziKoloniUmoja wa AfrikaUtalii nchini KenyaIsraelIsimujamiiShahawaVielezi vya namnaUzazi wa mpango kwa njia asiliaTanganyika (ziwa)LafudhiSaidi Salim BakhresaVita Kuu ya Kwanza ya DuniaMahakama ya TanzaniaMwanaumeNyotaJumuiya ya Afrika MasharikiBahashaMapambano kati ya Israeli na PalestinaUkwapi na utaoOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaJoyce Lazaro NdalichakoRayvannyIsraeli ya KaleSomo la UchumiWajitaJamhuri ya Watu wa ZanzibarMilanoKiambishi tamatiMaudhui katika kazi ya kifasihiMbagalaRadiViwakilishi vya urejeshiKifaruUnyevuangaSikukuu za KenyaMbezi (Ubungo)MofimuWangoniKunguruPentekosteShambaJay MelodyMwakaMeta PlatformsUlumbiLatitudoJamiiOrodha ya makabila ya KenyaWapareKalenda ya KiislamuOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaBendera ya KenyaMizimuUnyagoUundaji wa manenoOrodha ya majimbo ya MarekaniDaktariMazingira25 ApriliUzazi wa mpangoMfumo wa upumuajiMaambukizi nyemeleziRitifaaNomino za kawaidaWanyakyusaLuhaga Joelson MpinaHekaya za AbunuwasiKiwakilishi nafsiKichocho🡆 More