Ukristo Wa Mashariki

Ukristo wa Mashariki ni jina linalojumlisha madhehebu yote ya Ukristo yaliyotokea upande wa mashariki wa Bahari ya Kati na nje ya Dola la Roma yakiwa na mielekeo tofauti na ile ya Kanisa la Magharibi, ambalo ndilo aina ya Ukristo iliyoenea zaidi duniani pamoja na ustaarabu wa magharibi ulioathiriwa nayo.

Ukristo Wa Mashariki
Kristo Pantocrator, sehemu ya Deesis katika Hagia Sophia - Konstantinopoli (Istanbul) karne ya 12.

Unajumlisha hasa makanisa ya Waorthodoksi wa Mashariki na Waorthodoksi, ambayo yalitengana na Kanisa la Magharibi hasa katika karne ya 5 na karne ya 11, lakini pia Makanisa Katoliki ya Mashariki ambayo yana ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote.

Makanisa hayo yanatofautiana sana kwa sababu toka mwanzo yalizingatia utamadunisho wa imani katika jamii husika. Hata hivyo yana sifa nyingi za pamoja katika teolojia, liturujia, maisha ya Kiroho, sheria n.k.

Kwa sasa wanajumuisha waamini milioni 300 hivi duniani kote.

Yale makubwa zaidi ni Kanisa la Kiorthodoksi la Kirusi na Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia.

Ukristo Wa Mashariki
Matawi ya Ukristo yalivyotokea katika historia ya Kanisa. Upande wa juu ndio Kanisa la Magharibi, upande wa chini Makanisa ya Mashariki. Unene wa mistari haulingani na ukubwa wa madhehebu husika.


Marejeo

Viungo vya nje

Ukristo Wa Mashariki  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ukristo wa Mashariki kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Bahari ya KatiDola la RomaKanisa la MagharibiMadhehebuMasharikiUkristoUstaarabu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

WhatsAppKipazasautiMahindiMartha MwaipajaUandishi wa ripotiShambaMkoa wa RuvumaBaruaKanga (ndege)Biblia ya KikristoSikukuu za KenyaMkoa wa DodomaKiazi cha kizunguUkabailaMkoa wa TangaMaudhuiMkoa wa LindiIsraeli ya KaleMeno ya plastikiUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020Maudhui katika kazi ya kifasihiWashambaaStadi za maishaHistoria ya uandishi wa QuraniSimba (kundinyota)DaktariMkoa wa MbeyaMnururishoKoloniUbaleheDar es SalaamMkoa wa MwanzaSiriKariakooVichekeshoMaana ya maishaLafudhiVivumishi vya -a unganifuAbedi Amani KarumePentekostePalestinaSayariNyukiMkanda wa jeshiUenezi wa KiswahiliMadawa ya kulevyaNdoaMaambukizi ya njia za mkojoAfrika ya MasharikiMkoa wa SingidaKilimoDodoma (mji)TarakilishiJumuiya ya Afrika MasharikiVielezi vya idadiLugha ya taifaSabatoSamia Suluhu HassanMimba kuharibikaMishipa ya damuUundaji wa manenoHisiaZuchuVivumishi vya sifaManchester CityBurundiAlizetiPumuWizara ya Mifugo na UvuviHadhiraSumakuKhadija KopaKuki🡆 More